Ni aibu sana mtu makini na aliyepata elimu na malezi bora kujisifia matusi kama ndio silaha yake.
Sijui watoto wako wanajifunza nini kutoka kwako.
Mkuu chama, huyu jamaa ndio hazina ya Chadema wiliya ya Same kwenye udiwani.
Mkuu Ritz
Kama Precise pangolin ndio mgombea basi huko same itakuwa hawana akili hata chembe; hii inathibitisha hawa wanaharakati waliomo humu JF wanatafuta njia tu kujipenyeza kwenye siasa ili wagange njaa; hiv unafikiri kamanda Precise pangolin aupate udiwani hapo atatetea maslahi yake au ya wananchi? Mimi naamini wanaSame hawajawa mapimbi ni watu wenye hekima hiki kituko watakitupilia mbali.
Chama
Gongo la mboto DSM
Last edited by a moderator: