Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mdogo wako Ikumbo naye alikamatwa Mineappolis kwa wizi Macy's. Unajua hilo?
Bora Mungu ninyime kila kitu nibaki maskini wa kutupwa lakini hekima na busara nizidishie. Wenye nafasi kubwa kubwa wangekuwa wa aina ya kujionyesha na kujitapa pata picha nini kingekuwa.
Sijajua bado maana ya usemi wa wahenga kwamba debe tupu haliachi kutua mvumo japo kupuliswa kidogo tu na upepo. Debe lililojaa katu halina mvumo upepo upitapo.

