Live: Mzee Malecela on ITV

Live: Mzee Malecela on ITV

teh teh.."Muzee wa kudekeza ubongo",ubongo ni kama Muscle ukiupa zoezi unapanuka na kuwa more powerful.

Kura zilipigwa kwa vipindi tofauti na mikakati ya wizi ililelenga urais kuliko kwingine.By the way kipindi kile urais ulikuwa n umuhimu kw aCCM kuliko kitu kingine, baaday wakagundua kuwa hata madiwani.Hukumsikia baba Rits alipokataa kuwepo Mtwara kama alivosema mwanae, na kudai kauwa laikua La kairo?

Tatizo unapenda sana kucheka cheka, mkuu chama, huyu jamaa kumbe naye ni Chadema-kata JF anakuambia kura zilipingwa vipindi tofauti wakati sio kweli.

Hujui hata uchaguzi ulivyokuwa watu tumepiga kura ya rais, diwani, mbunge. Sijui hayo maneno yako unamueleza nani.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo unapenda sana kucheka cheka, mkuu chama, huyu jamaa kumbe naye ni Chadema-kata JF anakuambia kura zilipingwa vipindi tofauti wakati sio kweli.

Hujui hata uchaguzi ulivyokuwa watu tumepiga kura ya rais, diwani, mbunge. Sijui hayo maneno yako unamueleza nani.

kwani unaona aibu ukichekwa?Uchaguzi wa madiwani wa juzi sidhani kama ulifanyika na wa urais?hembu nikumbushe.Chadema kata?Kwani kuna Chadema kata na chadema nini?Seminary, na private schools nyingine?au madrassat?

Nashukuru umeona kuna Chadema nyingine ipo makini na ndio unayoihofia.(Chadema isiyo ya kata).Ukombozi unakaribia, taratibu mntafauta excuse ya kukubali mziki wa CDM.Kwa hili hata ukisema CDM sijui ipi ktk makundi ya fikra zenu kuwa ndio si ya kata bado imekula kwako.
 
Hivi tunaweza kuona sehemu ya maswali yalivyoishia ili angalau nami niweke kaswali kangu kanakonitatiza kuhusu mzee
J Malecela?

Nilitaka aulizwe kuhusu yale mabilioni aliyopewa na na Jitu Patel kwa ajili ya kampeni ya urais,je aliyarudisha baada ya jina lake kugonga ukuta Kamati Kuu?
 
kwani unaona aibu ukichekwa?Uchaguzi wa madiwani wa juzi sidhani kama ulifanyika na wa urais?hembu nikumbushe.Chadema kata?Kwani kuna Chadema kata na chadema nini?Seminary, na private schools nyingine?au madrassat?

Nashukuru umeona kuna Chadema nyingine ipo makini na ndio unayoihofia.(Chadema isiyo ya kata).Ukombozi unakaribia, taratibu mntafauta excuse ya kukubali mziki wa CDM.Kwa hili hata ukisema CDM sijui ipi ktk makundi ya fikra zenu kuwa ndio si ya kata bado imekula kwako.

Tuongelea uchaguzi mkuu ambao wewe unasema ulifanyika kwa vipindi tofauti naona umebadili mwelekeo unaleta habari za uchaguzi wa juzi wa madiwani baada ya kuona umechemka.

Wewe ni Chadema-Kata, kuna Chadema Great Thinkers ninawakubali sana lakini sio wewe.
 
Hapo ktk red nimepapenda, juu ktk thread kna mahali watu wame coment kuhsu ulaji mbaya wa Le Mutuz, nilitaka mwambia kuwa anakaribisha magonjwa yatakayoshusha performance na mwishowe kuhamia ktk status ya watunzaji wa wanawake(waume walezi) ili wanaume wengine wafaidi.Kwa akili yake anadhani kujionyesha kuwa yupo gymn kunamsaidia sana,kukimbia reality.Hajui kuchoma cholestrol ni kugumu kuliko mafuta ya kawaida kwa vile huchomwa ya mwisho.Pia ajue kuna umri utafika atakuwa mvivu wa gymn ila tabia ya kula na kunyw ainaweza kuwa imeongoezeka sana.Ni aina ya watoto wenye tamaa sana kam akina Jonas Nkya.Miili yao ni kama hawajapata chakula kinchowafaa hapa duniani.

Mbaya wanawake hawachelewi kumsifia kuwa ni handsome, ana muscles,ni charming etc wakati kwa mwenye macho anaona toka ktk picture zake mwenyewe jinsi jamaa tayarai nyama zinaning`inia ktk mikono, kifua na mashavu.

Mkuu naona siasa imekushinda umejigeuza dietician

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tuongelea uchaguzi mkuu ambao wewe unasema ulifanyika kwa vipindi tofauti naona umebadili mwelekeo unaleta habari za uchaguzi wa juzi wa madiwani baada ya kuona umechemka.

Wewe ni Chadema-Kata, kuna Chadema Great Thinkers ninawakubali sana lakini sio wewe.

unadhani nataka hata niwe mimi.Ninachoshukuru na nilichosema ni kwamba umesuggest kuwa kuna kata na wengine wa juu.Ktk Red umethibitisha.Ndipo ninapokupenda kwa sifa za karibu huku ukiw ahujui unamini nini wala unatetea nini.

Kwenye red nafurahi kumekiri CDM kuna great thinkers.Great thinkers hawakai chama hovyo.Tafuta namna nyingine ya kugeuza ulichosema, bado umethibitisha kuwa blah blah zako za nyuma hazikuwa na kazi.
 
Mkuu naona siasa imekushinda umejigeuza dietician

Chama

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

sidhani kama mimi ni mwanasiasa, wala nahitaji kuwa limited ktk aspect fulani.Na lishe njema ni jukumu la kila mtu ni basics za mtu anayejitambua.
 
Jamani simba akinyeshewa hageuki kuwa mbwakoko, Mzee Malecela ni kichwa na anasoma tofauti na huyu mtoto wake ambaye ametalii ughaibuni for millions of years then amerudi empty headed some say empty handed tu. Mzee ni mchambuzi mtoto ni mshabiki wa CCM. Hakuna cha like father like son hapa NO. Hapa mtoto wa mamba ni kenge sio mamba
 
Malecela nimemsikiliza ameongea mengi ya maana ila sema akili imedha choka na ujana anutaka kweli jamaa afya yake inaonekana ni mgogoro sana imembidi ahamie dodoma maana dar hali ya hewa sio nzuri
 
sidhani kama mimi ni mwanasiasa, wala nahitaji kuwa limited ktk aspect fulani.Na lishe njema ni jukumu la kila mtu ni basics za mtu anayejitambua.

Nakubaliana na wewe kabisa lishe ni muhimu sana; ungeanza na mh. Sugu; hapo kwenye siasa sishangai ndio sababu huishi kumwaga pumba huijui!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Unajuaje kama sijaogea naye personally?Halafu unachonishangaza na kunionyesha jinsi gani rationala thinking ni bidhaa dimu sana, kwa ujumla hamjajaaliwa.Hivi unadhani kujitetea ni kumtaja mtu mwingine kuwa naye kafanya ili kuonyesha kuwa na wewe si mhalifu pekee.Ingekuwa logic ndivyo ilivyo basi kunywa sumu kungekuwa kumefanywa na watu wengi hadi sumu ikawa haiui tena kwa vile na wengine walishakunywa pia.
 
Kama umeongea naye somo halijaeleweka ama uwezo wako wa kumuelewesha mtu ni mdogo saaanaaaaaaaaaaaaaaaaa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kama umeongea naye somo halijaeleweka ama uwezo wako wa kumuelewesha mtu ni mdogo saaanaaaaaaaaaaaaaaaaa

Chama
Gongo la mboto DSM

teh teh ..sasa kama uwezo wangu ni mdogo sana povu linakutoka la nini ninapomuelimisha Le mutuz?Kwanini usipotezee?Logic yako naogopa ipa neno baya.Una kosa "transitivity ktk concepts zako"
 
Game yako ndogo sana endelea kueleimika!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Game yako ndogo sana endelea kueleimika!

Chama
Gongo la mboto DSM

wala sitaki iwe kubwa.Ila kwa udogo udogo huo huo,nakuuliza teana kwanini umetokwa povu sana nilipojaribu mkumbusha Le mutuz kuwa lishe mbaya yake kama kakosa chakula ya kufaa humu duniani ni hatari?Mnapenda kimbia maswali kirahisi sana as if hamkuyaona.
 
Nilikuwa najaribu kukuelewesha tu ubora wa chakula huangalii kupitia picha tunaangalia vitu gani vilivyomo ndani unaweza kula ice cream kopo zima ikawa ni fatty na carb free siku hizi vitamu vinalika bila kuathiri afya yako; bado najiuliza utaweza vipi kumuelewesha Le Mutuz wakati wewe mwenyewe somo hulielewi?

Pengine wewe ndio unaelewa contents zake kwa sababu ulikuwa nae akiagiza hembu tuambie vizuri km ni (fatty & carb free).
 
Mimi sikumshutumu Le Mutuz kuwa anaharibu afya yake; wewe bingwa wa kujua contents za afya kwa kuangalia picha ndiye uliyemshutumu; kwa mantiki hiyo wewe ndiye unayepaswa kutueleza!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi sikumshutumu Le Mutuz kuwa anaharibu afya yake; wewe bingwa wa kujua contents za afya kwa kuangalia picha ndiye uliyemshutumu; kwa mantiki hiyo wewe ndiye unayepaswa kutueleza!

Chama
Gongo la mboto DSM

Pengine mnashea chumba. mjini hapa tutajuaje?
 
Back
Top Bottom