Live: Mzee Malecela on ITV

Mimi sikumshutumu Le Mutuz kuwa anaharibu afya yake; wewe bingwa wa kujua contents za afya kwa kuangalia picha ndiye uliyemshutumu; kwa mantiki hiyo wewe ndiye unayepaswa kutueleza!

Chama
Gongo la mboto DSM
Ila ulimtetea , then ukaenda mbali kuwa icecream aliyokuwa anatumia ilikuwa ni (fatty & carb free),sasa unaruka vihunzi.Hembu mwangalie Le Mutuz halafu tuambie kuna space ya kiasi gani cha sugar, fatty, even additional energy inayoweza ingia tena ktk huo mwili tena?tazama tumbo, mkono hata ukiwa umebeba chuma umelegea,tazama anvyokunja sura wakati mzigo hauendi, sijui kam anaweza burn wese hadi afikie colesterol.By the way siku hizi watu wanakwenda public Gymn kam ahizi kwa vile kuna akina mama na dada,sijui kam Le Mutuz atakuw tofauti na wengine wanorudi toka nje huku wakiwa hawana dira na kuamu ajiunga na golfu, gymn etc ili kuweza angalaua pata wa kukata ushamba wao na kupata deal.


 
Hiyo inakuonyesha CCM haina mwenyewe; hapo kwenu si mpaka baba mkwe aseme! au hilo hulijui?

Chama
Gongo la mboto DSM

mimi inanionyesha things are not working in that house.Wanajaribu kila mtu kama watu wa kijijini wajaribuo betri zilizokwisha na kuanikwa juani ktk radio zao.Nyingi kati yake zina charge kidogo sana kila zikiweka muda mfupi tuu zinakata.

You are changing the frame but the picture remains the same
 
Back
Top Bottom