Live: Mzee Malecela on ITV

Live: Mzee Malecela on ITV

Hakuna asiyekujua jinsi unavyopenda DEKEZA UBONGO WAKO KWA FAHARI KUBWA. Mbona watu wangapi walishinda dunia na hawajwa marais?Yule mama wa Maynmar,Raila, Maalim, etc?

Hao uliowataja kesi zao tofauti kabisa na kesi ya Dr Slaa. Usipende kufananisha matukio kwa kutumia akili yako.
 
Pimbi nani?Kumtetea against nini?Kikwete anamtetea nani?Wakati meno ya tembo yanatoroshwa, wasomalia na wairan ni viongozi wakubwa?CCM ndio inaleta mazingira ya kutetea wananchi kwa vile wanawakandamiza,na kuwaibia.

In fact baad aya unyonyaji na uonevu dhana ya utetezi hufa, kutimiza majukumu ndipo kunakuwa na mana.

Kama ni utetezi angeanza na watoto wake; haya unayoongea ni hadithi za kusadikika wazungu wanasema CHARITY BEGIN AT HOME!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Ritz
Kama Precise pangolin ndio mgombea basi huko same itakuwa hawana akili hata chembe; hii inathibitisha hawa wanaharakati waliomo humu JF wanatafuta njia tu kujipenyeza kwenye siasa ili wagange njaa; hiv unafikiri kamanda Precise pangolin aupate udiwani hapo atatetea maslahi yake au ya wananchi? Mimi naamini wanaSame hawajawa mapimbi ni watu wenye hekima hiki kituko watakitupilia mbali.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mmewekeza kwenye ujinga sana, kila kitu mnakataa halafu hata hamna maelezo ya msingi kwanini mnapinga wala akili mbadala.Badala yake mnaweka blah blaha nyingi, sijui "si mapimbi".Msidekeze mbongo hizo nyie mapusher.Upo wapi sasa hivi?greece?Brazil au wapi?
 
Hao uliowataja kesi zao tofauti kabisa na kesi ya Dr Slaa. Usipende kufananisha matukio kwa kutumia akili yako.

Mkuu Ritz
Cha Sadar !!


Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mmewekeza kwenye ujinga sana, kila kitu mnakataa halafu hata hamna maelezo ya msingi kwanini mnapinga wala akili mbadala.Badala yake mnaweka blah blaha nyingi, sijui "si mapimbi".Msidekeze mbongo hizo nyie mapusher.Upo wapi sasa hivi?greece?Brazil au wapi?

Nipo Gongo la mboto

Chama
 
Kwanini wewe kila mtu unamuhusisha na Dr Slaa..huwez kujenga hoja bila kumtaja Dr?
1. - HOW ABOUT 70, MARRIED TO 30 & PhD FROM CHURCH = CHADEMA PRESIDENT & CHADEMAS TANZANIA PRESIDENTIAL CANDIDATE!!

2. STUDYING FIRST DEGREE FROM 1990 NTIL NOW NOT FINISHED YET = CHADEMA CHAIRMAN & CHADEMAS TANZANIAS PRESIDANTIAL CANDIDATE!1

3. UDSM DEGREE, MBA FROM GERMANY MR. ZITTO = CHADEMAS DEPUTY SECRETARY GENERAL NOT FIT TO CHADEMAS CHAIRMAN, NOT FIT TO RUN FOR CHADEMAS TANZANIA PRESIDENT

- MY GOODNESS! THE PARTY OF MEDIOCRE!!

Le Mutuz!!
 
Hakuna umbea hapo Pro-Chadema JF wengi wao wana akili za kushikiwa utawakuta wanakubalia kila jambo la Chadema na viongozi wao hata kama la kipuuzi.

Dr Slaa kapelekwa mahamani na mzazi mwenzake Rose Kamili kwa kosa la kutelekeza watoto wake mwenyewe, mzazi mwenzake anadai fidia ya milioni 15 wote nyie mnamtetea Dr Slaa mnamuona kama mtume wenu hawezi kufanya makosa.

Halafu hii dhana yako mtu akisema habari ambayo uitaki unasema umbea wewe ukileta habari za mitaani unataka watu wakuamiani vumilia habari zote hata kama uzipendi ndio maana ya uhuru wa habari.

Titz kudekeza ubongo kunakufanya uwe kituko sana. Vingapi vya upuuzi vinaonekana wazi ktk CCM na vingine vinafichwa ktk miaka 50, bado mnataka watu wengine wazaliwe ktk uchafu nakufia ktk uchafu.

Kupelekwa mahakamani ni kitu cha kawaida ktk kuvunja mahusiano.Nani kuita mtume?Na kama ni aibu ya mahusiano nani anamzidi mtume wenu?

Acheni umbea na ujinga.Mnaongea maneno megi yasiyo na kichwa wala miguu mkidhani kuwa mmeleta hoja ya kumppinga D.r slaa na CDM ktk harakat zao z akuiondoa CCM.Kitu kizuri kuondoka kwa CCM kutaonekana na kwa macho taratibu hadi siku kunahitimishwa.
 
Nipo Gongo la mboto

Chama

Lini umerudi?Kweli hii nchi kichwa ch amwendawazimu. Sasa hata pushers nao wanataka uongozi kwa "kazi iliyotukuka waliyofanya", Le mutuz nae anataka uongozi wakati hata wanawake warembo kama wa tanzania ndio kwa mara ya kwanza anakuwa nao karibu, malori hayakumruhusu kupata wasaa au hadhi ya kukitana nao huko majuu.

Kwanini msitoe ukakasi kwanza halafu mkajifunza kwa waliojenga nchi wakati nyie mlikimbia njaa kidogo tuu?Wanuame wa kweli hawakukimbia Njaa walikabiliana nayo.sasa mnarudi ?Kifikra mpo nyuma sana.
 
Lini umerudi?Kweli hii nchi kichwa ch amwendawazimu. Sasa hata pushers nao wanataka uongozi kwa "kazi iliyotukuka waliyofanya", lemutuz nae anataka uongozi wakati hata wanawake warembo kama wa tanzania ndio kwa mara ya kwanza anakuwa nao karibu, malori hayakumruhusu kupata wasaa au hadhi ya kukitana nao huko majuu.

Kwanini msitoe ukakasi kwanza halafu mkajifunza kwa waliojenga nchi wakati nyie mlikimbia njaa kidogo tuu?Wanuame wa kweli hawakukimbia Njaa walikabiliana nayo.sasa mnarudi ?Kifikra mpo nyuma sana.

Kwani lini nilikuambia niliondoka?

Chama
Gongo la mboto
 
Wewe niwekee hayo matokeo yako yaliyompa urais Slaa

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Hawezi kuleta matokeo yeyote cha kushangaza hawa makamanda wanakuyakubali matokeo ya udiwani na ubunge halafu hawayakubali matokeo ya urais. Sasa sijui wametumia vingezo gani.
 
Last edited by a moderator:
Kwani lini nilikuambia niliondoka?

Chama
Gongo la mboto

uliniambia upo full time ktk kubeba mabox na part time pusher, si haba mara nyingine unameza mzigo.Sidhani kam ingekuwa rahisi kutuambia huku km umekuwa deported.

Na wewe umestaafu kwa utendaji wa kutukuka sasa unataka uongozi kama kiinua mgongo?
 
Mkuu chama,
Hawezi kuleta matokeo yeyote cha kushangaza hawa makamanda wanakuyakubali matokeo ya udiwani na ubunge halafu hawayakubali matokeo ya urais. Sasa sijui wametumia vingezo gani.

teh teh.."Muzee wa kudekeza ubongo",ubongo ni kama Muscle ukiupa zoezi unapanuka na kuwa more powerful.

Kura zilipigwa kwa vipindi tofauti na mikakati ya wizi ililelenga urais kuliko kwingine.By the way kipindi kile urais ulikuwa n umuhimu kw aCCM kuliko kitu kingine, baaday wakagundua kuwa hata madiwani.Hukumsikia baba Rits alipokataa kuwepo Mtwara kama alivosema mwanae, na kudai kauwa laikua La kairo?
 
Kama ni utetezi angeanza na watoto wake; haya unayoongea ni hadithi za kusadikika wazungu wanasema CHARITY BEGIN AT HOME!

Chama
Gongo la mboto DSM
Wakti unakimbia maswali yangu.

Sasa hivi unawapenda wazungu ehe?si mlikuwa mnatukana wengine waki refer kwa wazungu?Yesu hakunaza charity home pale alipowatosa wazazi wake na kwenda kuhutubia wazee .Kikwete kaanza wauzia wageni Nchi, CCM wanawapa wahindi, wanyrwanda, wasomali, wairan, na wengine uraia na passport kabla ya wazawa na baadaye kuwapa uongozi kirahisi kuliko mzawa, walinyima mengi Kilimanjaro, walimuuzia, agha khan ,Hotel iliyojengwa kwa wizi wa hela ya wananchi, alikataa muuzia Mrema 77, alimbana sunda mount meru?sasa kwanin mtake kwa Slaa?
 
Titz kudekeza ubongo kunakufanya uwe kituko sana. Vingapi vya upuuzi vinaonekana wazi ktk CCM na vingine vinafichwa ktk miaka 50, bado mnataka watu wengine wazaliwe ktk uchafu nakufia ktk uchafu.

Kupelekwa mahakamani ni kitu cha kawaida ktk kuvunja mahusiano.Nani kuita mtume?Na kama ni aibu ya mahusiano nani anamzidi mtume wenu?

Acheni umbea na ujinga.Mnaongea maneno megi yasiyo na kichwa wala miguu mkidhani kuwa mmeleta hoja ya kumppinga D.r slaa na CDM ktk harakat zao z akuiondoa CCM.Kitu kizuri kuondoka kwa CCM kutaonekana na kwa macho taratibu hadi siku kunahitimishwa.

Usipende kuendekeza ujinga wako hata siku moja Chadema hawawezi na wala hawana uwezo wa kutoa CCM madarakani.

Wenye uwezo wa kuondoa CCM madarakani ni Wananchi wa Tanzania sio Chadema ambacho kinajulikana malengo yake,

Imeingiza mambo ya mtu wetu kama kejeli halafu unadhani mtapata kuungwa mkono na Watanzania labda watu wa Kaskazini kama wewe.
 
Nikweli kabisa Mkuu chama sifai kuwa mbunge kama ilivyo kwa mbunge wetu mchomvu mama Kilango Malecela au mama wa kambo wa Lemutuz ambaye mchana kutwa anaangalia kioo huku akijichubuwa ili apendwe na babu mwingine kama alivyopendwa na baba yake le mutuz

Hapo ktk red nimepapenda, juu ktk thread kna mahali watu wame coment kuhsu ulaji mbaya wa Le Mutuz, nilitaka mwambia kuwa anakaribisha magonjwa yatakayoshusha performance na mwishowe kuhamia ktk status ya watunzaji wa wanawake(waume walezi) ili wanaume wengine wafaidi.Kwa akili yake anadhani kujionyesha kuwa yupo gymn kunamsaidia sana,kukimbia reality.Hajui kuchoma cholestrol ni kugumu kuliko mafuta ya kawaida kwa vile huchomwa ya mwisho.Pia ajue kuna umri utafika atakuwa mvivu wa gymn ila tabia ya kula na kunyw ainaweza kuwa imeongoezeka sana.Ni aina ya watoto wenye tamaa sana kam akina Jonas Nkya.Miili yao ni kama hawajapata chakula kinchowafaa hapa duniani.

Mbaya wanawake hawachelewi kumsifia kuwa ni handsome, ana muscles,ni charming etc wakati kwa mwenye macho anaona toka ktk picture zake mwenyewe jinsi jamaa tayarai nyama zinaning`inia ktk mikono, kifua na mashavu.
 
Usipende kuendekeza ujinga wako hata siku moja Chadema hawawezi na wala hawana uwezo wa kutoa CCM madarakani.

Wenye uwezo wa kuondoa CCM madarakani ni Wananchi wa Tanzania sio Chadema ambacho kinajulikana malengo yake,

Imeingiza mambo ya mtu wetu kama kejeli halafu unadhani mtapata kuungwa mkono na Watanzania labda watu wa Kaskazini kama wewe.

kwani CCM ilijiweka yenyewe?Kwani CDM wamewambia wanawatoa wenyewe ?Hujui kwanini wanatumia "People`s power?".Ritz ingekuwa tunaruhusiwa chukua mbongo zisizotumika, ningekupora na kuwapa mataahira watumie wako.
 
Malecela: Tanzania ina maliasili nyingi songosongo na mtwara etc, kwahiyo hii maliasili ya malawi sio chochote
Watafiti ndo wachocezi katika huu mpaka

hii mbona anajichanganya mara anasema linakuzwa na vyombo vya habari mara watafiti......LIKE SON LIKE FATHER
Usisahau kwamba huyu mzee hapo alipo akili zake kazifugia stoo, kinachoongea hapo ni kimvuli chake.
 
Malecela hakuzaa toto yeyote mwenye akili zonazolala angalau ktk average IQ, na tabia za kawaida tuu angalau atokee ktk public?Au genes zake ni kali kiasi cha kumzalia Pure breed tuu?Kwa sababu hata yeye ni kichekesho, inaelekea kama nchi ingekuwa na level fulani ya kimaendeleo huyu jamaa asingepata nafasi za bwerewere enzi hizo.Hakuna kitu,ndio maana wanauzwa kirahisi sana ktk CCM.Wanajuana ktk magenge yao ya vilaza na wizi wa nchi.

majibu yake yamenihakikishia kwanini alikuwa tayari kusilimu ili maisha ya kisiasa yaende mbele wakati , alipaswa kuwa amejijengea maisha halali ya kutosha,na vyeo alivyofikia vingetosha kabisa mpatia attention ya kufanya kitu na kikapata public supprort ila alikuwa tayari compromise kwa kiasi kile.

Le mutuz hawezi msitiri mzee kwa lolote lile.
 
Malecela: Tanzania ina maliasili nyingi songosongo na mtwara etc, kwahiyo hii maliasili ya malawi sio chochote
Watafiti ndo wachocezi katika huu mpaka

hii mbona anajichanganya mara anasema linakuzwa na vyombo vya habari mara watafiti......LIKE SON LIKE FATHER

Jinsi anavyotaja rasilimali anataja hadi mkoa kama vile ni sehemu ya rasilimali, halafu anarudi kufanya mashindano ya nani anacho katika ya malawi na sisi , halafu anahamia kuona kila kitu kina mchochezi tuu na si kitu kingine.

Akili za ponda na kitabu chake kinataja manabii wa Biblia vibaya hadi kufikia kusema maria kuwa dada wa Moses, watu walioishi karne nyingi tofauti.Halafu kumaliazia kwa firka za akina Ponda kuwa Kila kitu kina mkon wa magahribi na Israel.hawajui China, Russia, ni nchi ziwezazo chonganisha.Pia tamaa za wahusika na ujinga wao unaweza kuwa ndio sababu.
 
Back
Top Bottom