Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
- Thread starter
- #21
mTANGAZAJI: Je watanzania tuko tayari? sijui ni kwa nini?
Ni kweli mkuuDakika 45 ni Recorded Program i dont think kama ni Live
Anadai sio sahihi kusema TZ Ni maskini ila hatuna mtaji. Amekosa hoja huo mtaji utapatikana lini?
Mtangazji: tutapataje mitaji?