Live: Mzee Malecela on ITV

Live: Mzee Malecela on ITV

Hii ndio hazina ya ccm iliyosahaulika angepewa ukatibu mkuu hakika kazi ingekuwa rahisi si unaona hata mama pale bungeni
 
Kipindi kimeisha ila sijaona lengo la kipindi hiki Mzee Malecela kaitwa kuja kuongea tuuu??????? sijaona KEY POINT
 
Kwani kwenye zile post za yule mwanae wa kambo huwa unaona point?
 
amenichekesha mzee wa yule mpare a.k.a kiwanda cha tangawizi eti mgogo na dollar wapi na wapi kaijulia wapi?
 
Malechela; Tanzania ina chakula cha kutosha na inauwezo wa kusupply burundi, kenya na uganda lakini mfumko wa bei unatokea MJINI.............................SIJUI KAMA HII NI KWELI

Huyo ndo tingatinga.
Au kuna mwingine??!,
Au Mwigulu!!
 
Le mutuz amefanana sana na Pepe kale..siku moja nilimuona kwenye party moja ya usiku ya kiheshima alikuja kama anaenda kununua nyanya gengeni,boonge la shati na kaptura eti mwenyewe anajiona katoka kibaharia,za kilooongi...kila mtu aliyekuwa anamtizama alishikwa na kicheko..alikuwa kama kontena limesimamia vijiti.
Ukizaa mtoto dizaini ile ni bora ubadilishane na kuku ujue moja.
 
Alafu mama yake wa Kipare anazidi kupendeza.mweupeeee........ Chezeya kuogea mkorogo wa Jiki
 
Hivi ni kweli Le Mutuz ni mtoto wa Malecela? Watoto wa huyu mzee ni vichwa sana angalia Mwere na yule Judge! Le Mutuz alilamba zero Kwiro akaishia kuzoa tska US kwa miaka 30! Familia imemshinda ksikimbia marekani

- THE KING OF ALL BONGO SOCIAL NETWORK MEDIA, YAANI KUMBE MNANIZIMIKIA KINAMNA HII SIKUJUA KABISA, THAANKS JF ONE PAGE!!

Le Biig Shoow!!
 
Le mutuz amefanana sana na Pepe kale..siku moja nilimuona kwenye party moja ya usiku ya kiheshima alikuja kama anaenda kununua nyanya gengeni,boonge la shati na kaptura eti mwenyewe anajiona katoka kibaharia,za kilooongi...kila mtu aliyekuwa anamtizama alishikwa na kicheko..alikuwa kama kontena limesimamia vijiti.
Ukizaa mtoto dizaini ile ni bora ubadilishane na kuku ujue moja.

- Thaanks JF, Le Mutuz and Le Mutuz! and LE Mutuz!! THE KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA IN BONGO!1

LE Mutuz!!
 
wenye access na tv msikilizeni mzee.
anazungumzia mgogoro wa ziwa nyasa.
ngoja tuone kama kichwa cha le mutuz kina'reflect na cha mzee.

- aghrrrrrrrrr!! I love it sing it again Great Thinkers, LE Mutuz Biig Shoow! I mean this is wasap!!

Le Mutuz!!
 
Mdogo wako Ikumbo naye alikamatwa Mineappolis kwa wizi Macy's. Unajua hilo?

RIGHT NOW RELAXING AND HAVING ICE CREAM AT SOUTHERN SUN HOTEL, UNAJUA NI JOTO SANA NOWADAYS!!, SO LET ME FINISH MY ICE CREAM IT IS DOUBLE SCOOP OF STRAWBERRY YOU KNOW, IT IS KOOL I AM LIKING EVERYMINUTE OF MY ICECREAM YOU KNOW, KESHO PEOPLE HAVE A GREAT NIGHT ALL GREAT THINKERS, THIS IS THE KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA IN BONGO LIVE FROM SOUTHERN SUN HOTEL IF YOU KNOW WHAT I MEAN!!

LE MUTUZ!!
​
 
From a 54 year old man's mouth. Napita tu
 
From a 54 year old man's mouth. Napita tu

1. - HOW ABOUT 70, MARRIED TO 30 & PhD FROM CHURCH = CHADEMA PRESIDENT & CHADEMAS TANZANIA PRESIDENTIAL CANDIDATE!!

2. STUDYING FIRST DEGREE FROM 1990 NTIL NOW NOT FINISHED YET = CHADEMA CHAIRMAN & CHADEMAS TANZANIAS PRESIDANTIAL CANDIDATE!1

3. UDSM DEGREE, MBA FROM GERMANY MR. ZITTO = CHADEMAS DEPUTY SECRETARY GENERAL NOT FIT TO CHADEMAS CHAIRMAN, NOT FIT TO RUN FOR CHADEMAS TANZANIA PRESIDENT

- MY GOODNESS! THE PARTY OF MEDIOCRE!!

Le Mutuz!!
 
Back
Top Bottom