live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

Si ni juzi tu huyo Mbowe alikuwa Songea akifanya mkutano wa hadhara, sasa leo tena yuko Shinyanga!! Huyo jamaa huwa hachoki tu?

Hakuna kuchoka mpaka ukombozi kamili upatikane (mpaka kieleweke!!)Pamoja sana.
 
Kasema busara yake Mbowe inamtuma kumwita Lukuvi mwendawazimu kutokana na kauli zake mbovu.... Kimya cha dk 1 kuwakumbuka marehemu
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


Kwa hisani ya mpiga picha Pukudu na Tumaini Makene Shinyanga huko.
 
Anaongelea dhuluma ya green guard na polisi katika uchaguzi mdogo... Baada ya hapo kamati kuu iliaandaa orodha ya vipngozi. Wanachama na wananchi na watoto waliozurika katika harakati za CDM ni wengi... Afu Pinda amesema wamechoka ka amechoka si aachie ngazi kwani ofisi ya mama yake? CDM watatoa hicho kitabu kinaitwa ukatili wa polisi na kitasambazwa kote ulimwengu ujue uovu wa CCM. Kutokana na hayo CDM ina jukumu la kujilinda na wasipojilinda watainekana wajinga
 
Nawatakia kila la kheri makamanda Mbowe, Heche, Opulukwa, Kasulumbay na mamakamda wengine wote wa kanda ya ziwa mashariki. Kwa mwendo huu sina shaka hata kidogo kuwa kuanzia mwaka kesho tunapokwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ccm lazima watabaki kula vumbi, watake wasitake Chadema inakwenda kuwa-overtake kwa kasi ya kutisha lakini yenye usalama.
 
Red Brigade haikuaanza leo iko kwenye katiba tangu 2006, na lengo lao ni kujilinda na ukakamavu wala hawapambani na polisi. Anatoa onyo kwa Tendwa na kumuita mlevi wa madaraka. Ikiwa wananchi watazuiwa kutoa madukuduku yao watanzania hao wataingia msituni.. Mbona polisi wanahimiza ulinzi jamii CDM wakianzisha ulinzi jamii wao CCM wanaingia kiwewe kwa nn!
 
Kitabu hiki kitachapishwa nakala mamilioni na kusambazwa dunia nzima ili kila mtu ajue kuwa CCM imekuwa chama cha namna gani na hakiwezi tena kufanya siasa. Kimechoka. Kinapaswa kuondolewa madarakani.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1374331314.244812.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374331314.244812.jpg
    103.7 KB · Views: 4,034
  • ImageUploadedByJamiiForums1374331328.652699.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374331328.652699.jpg
    82.5 KB · Views: 10,032
Mbowe... Ujumbe kwa IGP Jk na Tendwa kuwa vurugu hizo zinaratibiwa na wao kwa kodi zetu wanafundushwa kujeruhi, kuiba kura na kuteka. CDM haihitaji jeshi la silaha inahitaji jeshi la Mungu ns CDM ni mpango wa Mungu. Katoa kitabu cha maelekezo kwa UVCCM kuhusu mafunzo ya greenguard Dodoma kinasomwa hadharani kinaelezea pia jinsi ya kuendesha makambi yao
 
Mpangilio wa namna ya kukaa plse pangeni watu vzr makundi ya watu 100 afu unaacha gap unapanga tena pale 100 afu gape watu wasirundikane itakuwa rahisi kuona nani karusha kitu.

Kati ya kundi na kundi miguu mitatu.
Na kamanda mbowe asishuke jukwaani kuwapa watu
mikono itoshe kusalimiana akiwa jukwaani.
Kila la kheri.
 
Leo kuna mkutano wa hadhara wa chadema mkoa wa shinyanga katika viwanja vya mahakama nguzo 8 majengo. Mgeni rasmi ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mh. Freeman Mbowe... Sasa tunasubiri mkutano uanze huku tukiburudishwa na gwaride la Red Brigade


Go Chadema ,go Chadema songa mbele wananchi tupo nyuma.
 
Kauliza nani anaafiki kuimarishwa red guard wananchi wote wamekubali hakuna sliyenyosha kukataa sasa anaongelea katiba mpya
 
Kitabu hiki kitachapishwa nakala mamilioni na kusambazwa dunia nzima ili kila mtu ajue kuwa CCM imekuwa chama cha namna gani na hakiwezi tena kufanya siasa. Kimechoka. Kinapaswa kuondolewa madarakani.

mkuu huku Tabora kuna kutano kesho,mtakuwepo?naja kuwapa updates Jf
 
Back
Top Bottom