live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

....

naona ..magamba wanachungulia humu JF...tangia waanze kupata idadi ya nyomi kama sendoff wamesizi kabisa.....
 
Tunashukuru kitu chenye ncha kal hakikutupwa TUMEMALIZA SALAMA
 
Mbona picha hamna au leo mnahutubia watoto wa shule wekeni hata za mwaka 2010 make hii aibu wakuu.

Kwa mujibu wa Mwampamba, Mbowe aliwahutubia watoto wa shule za msingi IYELA Mbeya CHADEMA ikashinda UDIWANI!
Kwa hiyo hata watoto wa shule wana uwezo wa kuwashawishi wazazi wao waipe kura CHADEMA!
Mbinu zote zitatumika kuinyanyapaisha CCM!
 
peopleeeeesssss Power MUNGU TUPE ULINZI WAKO KATIKA MIKUTANO YOYE YA CHADEMA WABARIKI VIONGOZI WA CHAMA AFYA NA NGUVU YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO wajalie wanachadema wote nguvu ya akili na kiroho kuwashauri wanaccm wajiunge katika harakati za kuiondoa chama dhalimu CCM madarakani.. Amina

mkuu , asante kwa dua .
 
Wekeni basi tupicha makamanda au siku hizi ndiyo tumejichokea.

Angalia post # 124

attachment.php
 
Chama makini kama chadema tz hakuna cha kufanya watanzania kwa umoja wetu ushirikiano sasa ni wakati wa kufanya mabadiriko kwa kuiunga mkono CDM hatutaki kusikia tena ccm.viongozi wa cdm toeni elim kwa watz wote.
 
Chadema chama kubwa leo mh Natse kawasha moto maeneo ya kilimatembo karatu mpaka raha
 
Back
Top Bottom