Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Nyie acheni kutukera! Tumezoea uchaguzi ukipita na siasa zinakoma hadi uchaguzi mwingine, sasa nyie kila siku mikutano! Tutawapuuu!
Ndiyo maana mlizoea kusema vyama vya msimu. Imeishia wapi hiyo kauli? Siasa haziwezi kukoma eti uchaguzi umepita, kwani uchaguzi ndiyo siasa na siasa ndiyo uchaguzi? Definition ya wapi hiyo? Hata darasa la kwanza hawezi kufundishwa hivyo.
Siasa za nchi hii zimepelekwa next level sana ambazo CCM hawajozea na hawawezi. Ndiyo maana wameshaonesha dalili zote za kuaga kuondoka madarakani.