live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

Umeona ee!!!!

Ukiona hivyo CCM imechokwa. Imebakia kuwa ya ukoo wa wenye vyeo chamani. Hivi lini CCM mtaitsha mikutano ili tuone kismeti chenu cha kupendwa na waTanganyika?
Mkuu CCM kuandaa mkutano wa hadhara ni kimbembe na itahitaji maandalizi makubwa sana na jasho kututoka. Maana itahitaji Pesa za Posho kwa wazungumzaji, wahudhuriaji, washereheshaji na waburudishaji. Hiyo yote tisa lakini pia inahitaji kwenda sambasamba na ratiba za waimbaji maarufu wa bongo flavour kama Diamond nk. Na mwisho kabisa inahitaji maandalizi ya kisaikologia ili kupokea aibu ya kuzomewa, kukejeliwa na hata kususwa na watu.

Zamani CCM hatukuwa hivi sijui ni ibilisi gani kavamia chama chetu.
 
Si ni juzi tu huyo Mbowe alikuwa Songea akifanya mkutano wa hadhara, sasa leo tena yuko Shinyanga!! Huyo jamaa huwa hachoki tu?
Afya yake inaruhusu sio sawa na wale wanao anguka kwenye majukwaa
 
shukran kwa taarifa kiongozi.
vipi hawa hapa chini wakoje huko?
avatar44815_4.gif

Mpaka sasa hawajaonekana ila wale wasio na mavaz lasimi wapo
 
John Mrema kamaliza ss ni John Heche Suguta anaongea anasema tulipiga kura hovyo hovyo, tukachagua viongozi hovyo hovyo na sasa tunalalamika hovyo hovyo. Wakati umefika tuache mfumo wa hovyohovyo
 
peleka kule kwa thread ya mtoi mod pls naona radhia sweety anachafua hali ya hewa tu
 
Leo kuna mkutano wa hadhara wa chadema mkoa wa shinyanga katika viwanja vya mahakama nguzo 8 majengo. Mgeni rasmi ni mwenyekiti wa CDM Taifa mh. Freeman Mbowe... Sasa tunasubiri mkutano uanze huku tukiburudishwa na gwaride la red brigade

Endelea kutujuza MCHONGANISHI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nenda utapata majibu. by the way nadhani stock ya mabomu ya Mwiguku toka china imekwisha kwa sasa au.
Mkirua acha fujo. Hi hi hi hi hi hi hi hi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
MAGAMBA hawana pa kwenda kufanya mkutano wa hadhara maana wameshaishiwa nguvu,akili na kila kitu cha kudanganya hakuna na ndio maana Lowassa yupo Marekani kwa sasa kwa anatumia KODI zetu kwenda kumsifia JK na kufanya interview na SWAHILITV ya mtaani(wajanja flani) pia kwenda kumpokea/kumkaribisha balozi mpya wa TZ nchini Marekani... Nawatakia kila la kheri na afya njema viongozi,makamanda wa ulinzi na kila mwanaharakati anayependa mabadiliko maana muda wa kuongoza nchi umeshafika yaani ni hapo 2015, Peoooooooooooople's...
 
Mh siasa bongo

Ndio slogan yako ya kuingilia JF?BTW hujabisha hata hodi kijana,jf ni zaidi ya siasa za bongo,haya hebu tupe hizo siasa zako za afghanistan tuzione! Au tukurudishe ulikotoka? Wewe ni mhamiaji haramu hapa jf!!
 
safi sana mboye tembea nchi nzima usichoke kabisa zunguka hata maeneo ambayo huna wabunge na madiwani na viongozi wote watembee kila mahali kutoe elimu kwa wananchi waache kulala sasa

Hata mimi nilikuwa nashanga hapo kwenye red, kumbe ni boya?
 
Back
Top Bottom