Wazee wakurusha vitu vizito vyenye ncha kali hahaha!shukran kwa taarifa kiongozi.
vipi hawa hapa chini wakoje huko?
![]()
Wazee wakurusha vitu vizito vyenye ncha kali hahaha!shukran kwa taarifa kiongozi.
vipi hawa hapa chini wakoje huko?
![]()
mpangilio wa namna ya kukaa plse pangeni watu vzr makundi ya watu 100 afu unaacha gap unapanga tena pale 100 afu gape watu wasirundikane itakuwa rahisi kuona nani karusha kitu.
Kati ya kundi na kundi miguu mitatu.
Na kamanda mbowe asishuke jukwaani kuwapa watu
mikono itoshe kusalimiana akiwa jukwaani.
Kila la kheri.
Nimesema naumia? Mimi naeleza idadi ya watu waliofika mkutanoni.
Mmechokwa mmesuswa na mmedharauliwa. Watz hawadanganyiki, wanakiamini chama kilichowajengea barabara, shule, vyuo vikuu na hospitali kila kijiji
kinajulikana na nani?Hao lazima wawepo kwa wingi tu. Chadema si kinajulikana ni chama cha wahuni na wafanya fujo.
Kuna bibi anarudisha kadi ya CCM
Kuna bibi anarudisha kadi ya CCM
Si ni juzi tu huyo Mbowe alikuwa Songea akifanya mkutano wa hadhara, sasa leo tena yuko Shinyanga!! Huyo jamaa huwa hachoki tu?
Ni kiongozi wa UWT kata ya Chamaguha