live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

Eti wanakiamni Chama kilichowajengea Barabara! Kwani hizo pesa ni za CCM au mikopo tutakayo lipa karne na karne!!! Au hujui kwamba serikali ya CCM kwa kuzoea kutembeza bakuli sasa hivi imefikia kuomba MAITI (TANESCO) DAMU? Eti 10% ya mapato ya TANESCO yapelekwe serikalini wakati yenyewe inaendeshwa kwa hasara. POOR CCM.

Aisee hili jambo lilinishangaza sana hata nikashindwa kukubaliana na kile nilichokuwa ninakisoma kwenye magazeti ya leo? Ni kitu gani kimeifikisha serikali yetu sikivu hapo?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Leo kuna mkutano wa hadhara wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga katika viwanja vya mahakama nguzo 8 Majengo. Mgeni rasmi ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mh. Freeman Mbowe.

Sasa tunasubiri mkutano uanze huku tukiburudishwa na gwaride la Red Brigade.



----------------------------

View attachment 103240

---------------------

kwa hali hii ya kupiga kazi namna hii , ndiyo maana magamba wanataka kumuua huyu kamanda wa anga.
kudos kamanda wa anga , kudos chadema yaunguzeni magamba kote kote.
 
Wanaukumbi, hivi hicho kitabu alichoshikilia Mh Mbowe hapo pichani kinahusu nini. Naomba mnijuze nyinyi mlokuwepo.<br />
<br />
cc Tumaini Makene (Man of Letters), Mohamed Mtoi et al
Ni kitabu kinachoonesha mipango ya green guard na nini wanapaswa kufanya na mafunzo yake yaweje ni maazimio yao jinsi green guard inavyoweza kudhibiti upinzani
 
i hope wameenda kujenga chama na kuzidi kuwakomboa watz
 
CDM wahurumieni wenzenu Magamba roho zinaweweseka, walisema sana kuwa CDM ya Msimu na haiko hata vijijin leo makamanda wako wanazunguka hadi vijijini, kanda ya ziwa magharibi Wenje na wenzie wako kazini, na huko bunda Dr. Webiro alivuna wa kutosha tu. CDM lete rahaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
CDM wahurumieni wenzenu Magamba roho zinaweweseka, walisema sana kuwa CDM ya Msimu na haiko hata vijijin leo makamanda wako wanazunguka hadi vijijini, kanda ya ziwa magharibi Wenje na wenzie wako kazini, na huko bunda Dr. Webiro alivuna wa kutosha tu. CDM lete rahaaaaaaaaaaaaaaaaa!


duh! hawa chadema wamesambaa nchi nzima kueneza ukombozi , yaani wanapiga na kuwasha moto kotekote. hapo magamba wanazidi kuweweseka na kutawanyika kwa moto unavyowashwa hamna gamba litakalo salia.
kudos makamanda.....
kudos chadema........
 
Radhia anasema hawa ni watu saba!! Sijui hajaona watu8 ?

attachment.php



umemchek yule pale anapanda juu ya mti kusuhuhia neno la ukombozi.....usihangaike na huyo [MENTION]radhai sweety[/MENTION] yeye anatumia sehemu ndogo sana ya ubongo wake kufanya maamuzi kwahiyo siyo kosa lake kivile.
 
Unachekesha wewe wa kunionea huruma mimi teh teh teh teh, mimi siyo mpambe wa wanasiasa kama wewe njaa itakuawa, utabeba viatu vya Mbowe na Dr Slaa mpaka ukome.
lazima tukuonee huruma, maana mshahara wa dhambi ni mauti..hizo dhuluma zenu mnazofanya hamtafika popote...wewe huna njaa kwa pesa ya dhuluma..ila kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Haki ya mungu magamba wakisikia neno "Lema" kama wanakunywa chai wanajikuta wanatia pilipili kwenye kikombe badala ya sukari!
 
Alafu kumbuka vijana wa chadema wanafanyakazi kwa kujitolea sio kila mtu anayetetea chadema analipwa nope! Usifikiri mnavyoendesha ccm ndio na chadema inaendeshwa hivyo nope Ridhiwani fisadi.
 
Last edited by a moderator:
Mmechokwa mmesuswa na mmedharauliwa. Watz hawadanganyiki, wanakiamini chama kilichowajengea barabara, shule, vyuo vikuu na hospitali kila kijiji

Eti chama kilichowajengea barabara,hosptal na shule,ame kwel we ni kilaza mia,hayo mambo yote yanafanyka kwa kodi zetu na c vngnevyo mdanganye mamayo pimbi wewe,kwanza ka chambe ulale
 
Alafu kumbuka vijana wa chadema wanafanyakazi kwa kujitolea sio kila mtu anayetetea chadema analipwa nope! Usifikiri mnavyoendesha ccm ndio na chadema inaendeshwa hivyo nope Ridhiwani fisadi.
 
Last edited by a moderator:
Safiii saaana makamanda msimu magamba hawachomoki na ukilinganisha wanamleta baba Lao la mafisadi 2015,, ambae hata darasa la pili wanamjua ufisadi wake!!
 
kumbe makamanda wemesambaa nchi nzima kupiga kotekote , kwa moto unaowashwa magamba yanaungua balaa.

...Machalii wa A town wameipa Chadema jina jipya.....inaitwa... OSKIJENI....wakimaanisha popote Tanzania ipo...
 
Back
Top Bottom