live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

tupasue anga twende huko kijijini magamba awawezi kutushika viva makamanda.
 
....

naona ..magamba wanachungulia humu JF...tangia waanze kupata idadi ya nyomi kama sendoff wamesizi kabisa.....

Walikua wanataka picha waone kama lile bomu lao la Arusha litakuwa limepunguza nyomi au vipi,ubaya wamekuta nyomi iko kama kawa na zaidi."LAZIMA WATOKE NDUKI".😛lane:
 
Walikua wanataka picha waone kama lile bomu lao la Arusha litakuwa limepunguza nyomi au vipi,ubaya wamekuta nyomi iko kama kawa na zaidi."LAZIMA WATOKE NDUKI".😛lane:
Mkuu no kweli.. 😛eace: hiyo inaitwa twanga kotekote
 
Walikua wanataka picha waone kama lile bomu lao la Arusha litakuwa limepunguza nyomi au vipi,ubaya wamekuta nyomi iko kama kawa na zaidi."LAZIMA WATOKE NDUKI".😛lane:

Mkuu ni kweli kabisa 😛eace: hiyo inaitwa twanga kotekote.
 
Wewe na CCM wenzio endeleeni kushangaa shangaa huoni kuwa hiyo MOVIE ya Tindikali imeshindwa? Muulize Mwigu pamoja na kutembea na na yule jamaa mlomwalibu uso Igunga ni nini kimeitokea CCM Arusha? Makamanda wako kazini Leo Mbowe Shinyanga kesho Mnyika Dr Slaa Lisu nk Wako Mabibo SaharaDar wanawasha moto. Godless Lema Sugu Msigwa na Sirinde kesho wanaunguruma Mbeya Mtajutaaaaaa!
[MENTION][JFMP3][/JFMP3]
[/MENTION]

Nimeupenda huo ulinzi naona sasahivi red bridge wamekaba kila baada ya hatua moja, hahahaha safi sana.
 
tupasue anga twende huko kijijini magamba awawezi kutushika viva makamanda.

CHADEMA imeanza kwenda vijijini tangu kuanzishwa kwake. Operesheni takribani zote zinafanyika au kufika vijijini. Na matokeo yanaonekana.
 
CHADEMA imeanza kwenda vijijini tangu kuanzishwa kwake. Operesheni takribani zote zinafanyika au kufika vijijini. Na matokeo yanaonekana.

Nyie acheni kutukera! Tumezoea uchaguzi ukipita na siasa zinakoma hadi uchaguzi mwingine, sasa nyie kila siku mikutano! Tutawapuuu!
 
duu! hii kitu ilinipita aseeeeeee lakini ya dar nitafatilia mwanzo mwisho...
 
Alafu kumbuka vijana wa chadema wanafanyakazi kwa kujitolea sio kila mtu anayetetea chadema analipwa nope! Usifikiri mnavyoendesha ccm ndio na chadema inaendeshwa hivyo nope Ridhiwani fisadi.

Mkuu Lupe huyo mtoto wa fisad papa tunasubir amalizie jengo lake hapa arusha mitaa ya metrol pole linaitwa cleopatra tower lazma lazma litaifishwe muda ukifka.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi sijawaona. Nimeshangaa sana

Kuona polisi ama watu wa aina flani katka mkusanyiko mkubwa kama huu tena kwa kutazama kwenye kamera inategemea sana na lengo la mpiga picha, nikimaanisha selectivity of event!

Mleta picha hizi amefanikiwa kufikisha ujumbe wake kwa kuwa ondoa polisi ila naamini katka kusanyiko kama hili cdm walipata kibali kutoka polisi ndo maana walifanya huu mkutano kwa amani, pili kama walipata kibali then polisi walikuwepo tu kulinda!!!
 
Mkuu Lupe huyo mtoto wa fisad papa tunasubir amalizie jengo lake hapa arusha mitaa ya metrol pole linaitwa cleopatra tower lazma lazma litaifishwe muda ukifka.

Msifanye kazi, msubirie majengo ya wenzenu. Mtasubiri sana!
 
Back
Top Bottom