Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Hao hao mnaowaita wahuni na wafanya fujo ndiyo watakaoikomboa nchi
Nchi ilishakombolewa na Nyerere 1961. Chadema ni kikundi cha wapenda madaraka tu.
Hao hao mnaowaita wahuni na wafanya fujo ndiyo watakaoikomboa nchi
Nchi ilishakombolewa na Nyerere 1961. Chadema ni kikundi cha wapenda madaraka tu.
Si ni juzi tu huyo Mbowe alikuwa Songea akifanya mkutano wa hadhara, sasa leo tena yuko Shinyanga!! Huyo jamaa huwa hachoki tu?
Mmechokwa mmesuswa na mmedharauliwa. Watz hawadanganyiki, wanakiamini chama kilichowajengea barabara, shule, vyuo vikuu na hospitali kila kijiji
Mijitu mingine ni nyongeza tu dunianiNchi ilishakombolewa na Nyerere 1961. Chadema ni kikundi cha wapenda madaraka tu.
Inakuuma nini?Watu wenyewe waliofika mkutanoni hawafiki hata saba (7)
gooooooo mbowe, na kesho yupo dar mabibo.... mpaka raha makamanda.
Mkuu babayako embu fafanua zaidi, inakuwaje hao wananchi wawachoke na kuwasusa hao CHADEMA lakini hapo hapo wawe wanajaa kuwasilikiza kwenye mikutano yao tena kwa hamasa kubwa na kisha wanachukua na Kadi za CHADEMA?Mmechokwa mmesuswa na mmedharauliwa. Watz hawadanganyiki, wanakiamini chama kilichowajengea barabara, shule, vyuo vikuu na hospitali kila kijiji
Inakuuma nini?
Mkuu CHAMVIGA inaonekana wananchi wengi wanapenda kuwasikiliza hao CHADEMA haijalishi ni nini wanakisema, maana kila kukicha watu wanazidi kujaa kwenye hiyo mikutano yao.
Kweli mwaka huu CHADEMA mmeamua kila siku ni harakati tu, sijui mnapata wapi muda wa kuweza kupumzika?
Hivi majimbo yenu huwa mnayahudumia saa ngapi, maana kila siku mpo na mikutano, mijadala, maandamano, mahakamani, midahalo nk?
Leo kuna mkutano wa injili mkoani shinyanga mgenj rasmi Mch freeman mbowe asanteni.
Makamanda tupeni update zakutosha