live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

Achana na magamba hayo. Au walituma kikosi cha wang'oaji wamemkosa?

C bado wana machungu ya kumkosakosa SOWETO na mbaya zaidi kujeruhi na kuua hadi watoto wa wana ccm wa kweli na watiifu,masikitiko ni kwamba bado wanatapatapa hawajakata tamaa hivyo waweza kuwa sawa.
 
Nilisha sema kuwa kinacho wasumbua ni state of denial (kukataa kuukubali ukweli wa mnacho kiona wakati ukweli ni kwamba mnateseka/kinawatesa).

Kwenye statement yako mtu mwenye akili timamu akikusoma katikati ya mistari anajua kabisa kuwa una denial inayotaka kuona huruma au pigo la picha.

Pole sana!

Unachekesha wewe wa kunionea huruma mimi teh teh teh teh, mimi siyo mpambe wa wanasiasa kama wewe njaa itakuawa, utabeba viatu vya Mbowe na Dr Slaa mpaka ukome.
 
Natoa angalizo kwa Chadema kuweni makini na hawa vijana na hizi miwani za plasitic mtakuja kuwapofuwa macho.

attachment.php
 
Natoa angalizo kwa Chadama kuweni kakini na hawa vijana na hizi miwani za plasitic mtakuja kuwapofuwa macho.

attachment.php
Una madharau sana wewe ridhiwani...usifikirie hizo pesa mlizoibia wananchi mtazimiliki milele...wewe ngoja time will tell.
 
Makamanda kazini nguvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwa watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mtakoma mwaka huu magamba
 
Unachekesha wewe wa kunionea huruma mimi teh teh teh teh, mimi siyo mpambe wa wanasiasa kama wewe njaa itakuawa, utabeba viatu vya Mbowe na Dr Slaa mpaka ukome.
Acha kutuletea usanii hapa kama wewe sio mpambe wa wana siasa ungekuwa unashinda hapa JF kutwa kutetea kila thread inayoonekana kwenda against na CCM?
 
Kweli mwaka huu CHADEMA mmeamua kila siku ni harakati tu, sijui mnapata wapi muda wa kuweza kupumzika?
Hivi majimbo yenu huwa mnayahudumia saa ngapi, maana kila siku mpo na mikutano, mijadala, maandamano, mahakamani, midahalo nk?

Ndiyo maana ya hakuna kulala, mpaka kieleweke...unajua maana ya uwakilishi au kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti?
 
Update za kutosha zitoke wapi? Mkutano umehudhuriwa na watu saba (7) tu. Yaani ni aibuuuuuuuuuu

Radhia Sweety

Pole.

Unaweza kupata pressure. Jifunze kukubali ukweli. Utaweza kuongeza siku za kuishi hadi uuone na kunufaika katika utawala mpya wa CHADEMA utakaotokana na watu, utakaoongoza kwa ajili ya watu, kwa niaba ya watu, kwa maslahi ya Watanzania wote.

Take these few pics, taken from different angles at the rally.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1374340885.935788.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374340885.935788.jpg
    137.1 KB · Views: 106
  • ImageUploadedByJamiiForums1374340909.809839.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374340909.809839.jpg
    152 KB · Views: 98
  • ImageUploadedByJamiiForums1374340946.215870.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374340946.215870.jpg
    115.6 KB · Views: 99
  • ImageUploadedByJamiiForums1374340978.200708.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374340978.200708.jpg
    137.5 KB · Views: 98
Acha kutuletea usanii hapa kama wewe sio mpambe wa wana siasa ungekuwa unashinda hapa JF kutwa kutetea kila thread inayoonekana kwenda against na CCM?

Hebu jaribu kupingana na Dr Slaa au Mbowe kama haujafukuzwa Chadema.
 
kitaeleweka tu.
watu wa vijijini ndio wanakwamisha mabadiliko
kwa muitikio ulivo sasa sina shaka hakutakuwa na wadanganyika tena wa fulana na kofia
viva CDM.
 
Nilikuwa hapo hakuna jipya aliloongea mh mbowe, ni yale yale tuu toka mwaka juzi .
 
Wanaukumbi, hivi hicho kitabu alichoshikilia Mh Mbowe hapo pichani kinahusu nini. Naomba mnijuze nyinyi mlokuwepo.

cc Tumaini Makene (Man of Letters), Mohamed Mtoi et al
 
Radhia Sweety

Pole.

Unaweza kupata pressure. Jifunze kukubali ukweli. Utaweza kuongeza siku za kuishi hadi uuone na kunufaika katika utawala mpya wa CHADEMA utakaotokana na watu, utakaoongoza kwa ajili ya watu, kwa niaba ya watu, kwa maslahi ya Watanzania wote.

Take these few pics, taken from different angles at the rally.

usibishane na wenda wazimu mkuu...
 
Back
Top Bottom