Dk.60 sasa na nyie wazuri dk.30 za mwanzo
Hahahaha sasa kumbe
Kwa hiyo unalazimisha mshikiwe? Uuuuiwiiii!
Simba wakikomaa wanaweza kupata goli
Sunzu vipi tena?
Bado mna nafasi mtani........Tatizo forward line yenu leo imepooza sana, kuanzia Ngasa, Sunzu mpaka Okwi.....na leo imekula kwetu..