Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Kama safari za JK zimefikia 358, yaani jumla yake ni karibu sawa na siku za mwaka mmoja; na kama tukisema kuwa katika kila safari alitumia siku 2 tu huko nje, basi ni sawa na kusema kuwa ha.tu.ku.wa na raisi kwa miaka miwili katika miaka minane ya JK ikulu. Kwa lugha nyingine: based on my assumption that JK spent only 2 days in each trip, basi ni sawa na kusema kuwa, asilimia 25% ya muda aliokaa JK ikulu ameutumia angani (nje ya nchi).
Ha ha ha!Na ukisema ni wastani wa siku 5(which is still fair),ni kusema wabongo hawakuwa na rais kwa muhula mzima?!
 
kisha uchaguzi wa 2015 MACDM Watafedheheka kweli kweli.
Muombe mungu usiondoke mapema hutaamini yatakayokukuta na kushuhudia utalia kama umefiwa kwa jinsi sacos yako ya chadema itakavyoporomoka.
 
viva cdm, kweli ukombozi wa nchi ni safari ndefu sana, niliiona kama ndo saa imefika, ila sasa inabidi mambo mengi sana ya msingi kufanyika ndani ya miaka chini ya miwili hii. heko kwa hilo mojawapo, pamoja sana
 
Muombe mungu usiondoke mapema hutaamini yatakayokukuta na kushuhudia utalia kama umefiwa kwa jinsi sacos yako ya chadema itakavyoporomoka.

ndugu afadhali tu ungeliniomba radhi kwa kunijumuisha na kampuni mfu ya CDM. Mi nafahamu kuwa 2015 CDM ndo mwisho wake na baada ya hapo itabia historia tu katika nchi hii.
 
Hoja ya chadema ni kupunguza matumizi ya serikali,Je kutumia helkopta kufanya kampeni tena kwenye udiwani ni matumizi madogo? au kwa akili za chadema huenda Gari ni gharama kubwa kuliko helkopta? au ndio watu. tumeshalishwa unga wa ndele? Masikini nchi yanguuuuuuu! haya endeleeni kuteketeza pesa halafu mtuambie kuwa wakuu wa mikoa na mawaziri wanatumia mashangingi hivyo ni matumizi mabaya.

Miaka yote vyama vya upinzani vilichekwa na CCM kiasi kwamba vikaitwa ni vyama vya msimu-vyama vinavyoibuka wakati wa uchaguzi tu! Kukamata dola kunahitaji maandalizi. Mwaka kesho si mbali. lazima chama makini kianze maandalizi mapema. Matumizi ya helikopta ni matokeo ya faida za teknolojia. Ulitaka watumie Land Rover 109 kama enzi za Mwalimu kuzunguka nchi? Acha Chadema waimalishe chama, maana siku cha uchaguzi zimeshawadia. kwa hili nawaunga mkono.
 
mleta mada nakupa hongera ila picha zako hazina kiwango na hazichukui eneo kubwa la mkutano

hamna kitu!
sasa achukue eneo kubwa wakati uwanjani hamna mtu si ndo atakuvueni nguo zaidi hivyo.
 
Unaonekana kilaza wa kutupwa..CDM wamelinda rasilimali gani za taifa?

Na umesoma Jografia gani ya kuifananisha Mbamba bay na Congo?..dIV5 Loading.............

kweli kaka,ungepungukiwa damu ningejitolea ila umepungukiwa akili,nakuuhurumia sanaaa...

huna akili kbsa wewe....safari 358, kila safari amekaa siku 3, maanake nchi haikua na rais miaka 3:faint:
 
Kutumia helkopta ni matumizi mazuri ya pesa za chama? au ni Project za kugonga mshiko ili tustaafu kwa heshima?
''Miaka yote vyama vya upinzani vilichekwa na CCM kiasi kwamba vikaitwa ni vyama vya msimu-vyama vinavyoibuka wakati wa uchaguzi tu! Kukamata dola kunahitaji maandalizi. Mwaka kesho si mbali. lazima chama makini kianze maandalizi mapema. Matumizi ya helikopta ni matokeo ya faida za teknolojia. Ulitaka watumie Land Rover 109 kama enzi za Mwalimu kuzunguka nchi? Acha Chadema waimalishe chama, maana siku cha uchaguzi zimeshawadia. kwa hili nawaunga mkono.'' by MANYERERE JACKTON
 
Last edited by a moderator:
Sasa naamini kuwa slaa kaisha kabisa kisiasa sijui hawa watu kama wanafika 200 jamani hii ni aibu kwa katibu mkuu kupata idadi ndogo kiasi hiki cha watu.

attachment.php
 
Amemaliza mkutano mbinga,soon atakuwa hapa katika viwanja vya matarawe,nipo hapa kuwaletea kinachojiri. Watu ni wengi ila picha mtansamehe natumia haka katecno.
 
Namuona barmaid wa baa ya mtini pale town,dah hadi hausigeli wa jirani yupo! Watu ni wengi na nchimbi anapondwa balaa. Red brigade wapo wakutosha na miwani yao! Kuna madogo wanakamua kiduku jukwaani kwani mwanacotilide anatumbuiza hapa!
 
Amemaliza mkutano mbinga,soon atakuwa hapa katika viwanja vya matarawe,nipo hapa kuwaletea kinachojiri. Watu ni wengi ila picha mtansamehe natumia haka katecno.

Tupe apdates Mkuu usijali. ilimradi Ujumbe unafika!!!
 
Helkopta inaonekana angani inataka kutua, watu wamehamasika kinoma. Put your two fingers in the air hata kama upo shambani!
 
Back
Top Bottom