Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Wajinga ndio waliwao...

Na kweli umeshaliwa jishike vizuri utaona vitu mithili ya kamasi la mtoto au yai la kisasa vinatiririka katikati ya sehemu iliyo inuka zaidi kwenye mwili wako
 
Wajinga ndio waliwao...

Na kweli umeshaliwa jishike vizuri utaona vitu mithili ya kamasi la mtoto au yai la kisasa vinatiririka katikati ya sehemu iliyo inuka zaidi kwenye mwili wako.
 
Dr. Slaa apite maeneo mbalimbali ya wilaya ya mbinga, kama kingerikiti, maguu, litembo na kwingineko! Pia awaamshe wanambinga, maana mafisadi kupitia ccm wamewalaza usingizi mzito wana mbinga na wanaruvuma kiujumla!
 
mdaa huu wa saa9 yupo NAMTUMBO na saa 10 atakuwa songea mjini uwanja wa matalawe watu kibao wanamsubiri
 
Attachments

  • dk+slaa.jpg
    dk+slaa.jpg
    17.7 KB · Views: 102
mleta mada nakupa hongera ila picha zako hazina kiwango na hazichukui eneo kubwa la mkutano
aisee mbona kajitahidi sana, unajua simu aliyonayo ni aina gani? Unakujua mbambabay lakini wewe,
hongera bwana umejitahidi sana
 
umetaja viwanja vya polisi ambavyo havina mlima huko unako kusema wewe ni kuelekea mahakamani na siyo viwanja vya polisi inaelekea umetumiwa picha wakati hujafika mbamba bay ndo maana una panik nimekubamba! na hilo jukwaa limejengwa kule mlimani? toa maelezo yanayo jitosheleza kama vipi tupia picha za nyongeza maana hiyo haina uhalisia na eneo unalo litaja
 
Na kweli umeshaliwa jishike vizuri utaona vitu mithili ya kamasi la mtoto au yai la kisasa vinatiririka katikati ya sehemu iliyo inuka zaidi kwenye mwili wako.

Nimendawazimu tu atakaekubali kuindosha Serikali ya CCM kwa vile Rais Kikwete amesawazisha makosa yote ya nyuma
- Amejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Amejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Ameleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Amewezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Amejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Ameejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Amepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Amezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Ameanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Anajenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anajenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini
Jamani acheni mzaha si tutachekwa tukiiondosha CCM na kuwaweka vichaa?

Kwa hisani ya duchi
 
Last edited by a moderator:
umetaja viwanja vya polisi ambavyo havina mlima huko unako kusema wewe ni kuelekea mahakamani na siyo viwanja vya polisi inaelekea umetumiwa picha wakati hujafika mbamba bay ndo maana una panik nimekubamba! na hilo jukwaa limejengwa kule mlimani? toa maelezo yanayo jitosheleza kama vipi tupia picha za nyongeza maana hiyo haina uhalisia na eneo unalo litaja
Uwanja wa mpira wa miguu mbamba bay ni eneo la polisi angalia fensi ya misonubari kijiji hakina uwanja wa mpira mkuu jukwaa ni la kudumu na lipo upande wa mgharibi kilipo kituo cha polisi kama unaelekea bandarini umenipata we pimbi.....mie naishi hapa
 
Na kweli umeshaliwa jishike vizuri utaona vitu mithili ya kamasi la mtoto au yai la kisasa vinatiririka katikati ya sehemu iliyo inuka zaidi kwenye mwili wako

mbona mnapenda matusi?
 
Sasa naamini kuwa slaa kaisha kabisa kisiasa sijui hawa watu kama wanafika 200 jamani hii ni aibu kwa katibu mkuu kupata idadi ndogo kiasi hiki cha watu.
 
Back
Top Bottom