Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

attachment.php
 
naona unazidi kujichanganya ama una mashaka na sacos, jukwaa nalifahamu vema si limepakwa rangi ya kijani na njano likiwa linatazama mlimani na liko nyuma ya polis nani mgeni hapo? usiogope! tupia picha basi maana hiyo ya mwanzo haieleweki ni kama imetengenezwa ufipa street vile, ukimaliza nipitie nipo hapa mdule mkubwa wa makuti siyo huo wa hapo uwanjani tupange mikakati
 
hivi mbona huwa hamumuiti padre?

Mapadre wapo kanisani, yeye alishaaga rasmi na akapewa Baraka zote kuwa aendeshe maisha yake binafsi. Sasa ni yupi bora yule aliyeona kuwa ni vema kuitumikia jamii kwa njia nyingine kama anavyotusaidia sasa au ni yule anabaki kuwa mchungaji, shehe, padre, maustadhi n.k huku wakidanganya jamii? Bravo Dr. Wilbroad Peter Slaa!!! Watanzania wenye uchungu na nchi hii wako nyuma yako. Pambana mpaka kieleweke.
 
Go Chadema go ,Mungu na awatangulie katika kila hatua mnayoipiga ktk ardhi hii.
 
naona unazidi kujichanganya ama una mashaka na sacos, jukwaa nalifahamu vema si limepakwa rangi ya kijani na njano likiwa linatazama mlimani na liko nyuma ya polis nani mgeni hapo? usiogope! tupia picha basi maana hiyo ya mwanzo haieleweki ni kama imetengenezwa ufipa street vile, ukimaliza nipitie nipo hapa mdule mkubwa wa makuti siyo huo wa hapo uwanjani tupange mikakati
Sasa ulikuwa unabisha nini huo uwanja wa mpira upo ndani ya eneo la polisi aliyekuwa diwani wenu marehemu Chindongo alifanya ufisadi mkubwa akagawa viwanja vyote akasahau kutenga eneo la uwanja wa mpira na soko CCM mna laana kubwa ......!!!
 
Back
Top Bottom