Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

hii operation imekuja mda mbadara kuliko kipind chote na mafanikio yake yatakuwa positive zaid
 
Serikali ya ccm imekuwa kikojozi kwani inafanya mambo ya ajabu sana!
 
MIMI namtaka nape na KINANA na kamati kuu ya CCM waliafikiana vipi na JK kuendelea na mawaziri mizigo?hapo ndipo tunawataka waje kutueleza mawaziri mizigo ina maana JK yeye awaoni big up CHADEMA toeni elimu ya uraia

Watangaze naye Kikwete ni Rais Mzigo hahahahaaa
 
Serikali ya ccm imekuwa kikojozi kwani inafanya mambo ya ajabu sana! Msigwa anasema mawaziri 22 wamedumaaa!
 
Wapi magamba na Operation ondoa Mawaziri Mizigo? Hamhahaaa CCM ndo Mzigo wenyewe haubebeki.
 
Msigwa anasema kinana anajipigia dili za tembo anavyotaka. Anauliza songea mnamtaka nchimbi, 'watu hapanaaaaa,ametuaibisha sana'' anasema jk anapenda sana kujirusha marekani huku anacheka cheka tu
 
Songea; watu tele! Wanakula dozi ya mchungaji kabla Dr hajapanda jukwaaani!
 
Kufeli shule kitu kibaya sana, una chopa tatu, wakati huna pakuzipaki, una wafanyakazi huna ofisi miaka yote mnaishi nyumba iliyokuwa guest house. Chadema ni kipindupindu kwa taifa.

Pamoja daima ndio habari ya mujini! hizo story zako wapelekee misukule wenzio pale lumumba!!!
 
Msigwa anasema tiss ni useless! Anasema jk amebadirishana kondomu na madini!
Anasema pinda ni mzigo.
Anasema "kinanaaaaa,weka mbali na tembooo"
 
Msigwa anasema kinana anajipigia dili za tembo anavyotaka. Anauliza songea mnamtaka nchimbi, 'watu hapanaaaaa,ametuaibisha sana'' anasema jk anapenda sana kujirusha marekani huku anacheka cheka tu

Dahhhh....Msigwa ni Jembe linalolima Lami..
 
Anasema songea tushkamane kumtoa ccm 2015. Dkt slaa anaitwa kwa jukwaa hapa
 
Mkuu mbona povu linakutoka hivo?
Kwani ni Uongo kuwa Chadema Chama Makini,
Ni Walinzi wa Rasilimali za Taifa? Huhitaji kuwa na Shahada kung,amua hilo.
poor you

Yah Mkuu wanalinda zikiisha wanakwenda kwa kina Rostam na mkono kuazima hizo rasilimali zetu,
 
Msigwa anasema cdm inaunganisha watz wote katika kumtoa adui maskini unaoletwa na maccm. Watu wote hawa wangekuwa wanapga kura ingekuwa mzuka kinoma!

2015 watapiga kura mkuu,watz wana mwamko wa kupiga kura haijawahi tokea! magamba lazima watage 2015!!!!
 
Dkt anang'aa hapa na pete yake ya ndoa!! Nimependa viatu vyake vya ukweli kinoma
mvua inaanza hapa
 
Msigwa anasema kinana anajipigia dili za tembo anavyotaka. Anauliza songea mnamtaka nchimbi, 'watu hapanaaaaa,ametuaibisha sana'' anasema jk anapenda sana kujirusha marekani huku anacheka cheka tu

Hizo ndio sera zenu? Sasa hapo nani akupe kura kwa u.haro huo?
 
Back
Top Bottom