Imanyara una akaunti ngapi...mbona wewe ni mpya? jana ulitumia Butola na leo hii....kama ww ni mnyasa na unashinda Lumumba kwenye key board kwa hayo malipo wanayosema basi ni bora urudi huku home tulime mpunga na kuvua samaki...kwa faida yako na wengine mbamba bay helikopta siyo kitu kigeni kuna mpaka uwanja wa ndege hapa kwa hiyo hivi vitu wamevizoea.....huku watu hawaitaki ccm imewadanganya sana hakuna miundombinu yoyote watu wanavuka mito kwa mitumbwi madaraja hakuna watu wanapelekana hospitali (ipo moja nyasa nzima) kwa mitumbwi ni hayo tu chuki imejingea ccm yenyeweChisango...hakuna mtu mwenye akili timamu atakayebisha kuwa mkutano wowote utakaofanyika Mbambabay tena mhutubu akija na helkopta utapata wahudhuriaji wengi,Kumbuka leo ni siku ya kihistoria kwa wengi huko kuona hiyo helkopta,na by the way wasipoenda mkutano huu watapoteza muda wapi?
Nilichokukataliwa ni kuwa eti wananchi huko wakeshe kumuimba vibaya Zitto ambaye majority huko hawamjui.Na ndio maana nikasema hiyo ni ishara kuwa waimbaji wamekodiwa na kuimbishwa wasichokijua na kuwa hiyo ilikuwa ishara kuwa ata hammfahamu adui wa kupambana nae.
Kila lenye kheri makamanda Mungu yuko upande wenu.Hakuna litakaloenda mrama.
Weka tena avatar yake uone motoSasa leo anaitangaza GONGO??au anaonea wivu na gere safari za mwanaume mwenzake??
Kama anaona wivu na yeye si aende ikulu kama ubavu anao??
Ndoa na kuongoza familia imemshinda atawezea wapi TAIFA??
Dr slaa whats goodness from you the Tanzanian would they remember when you die? Myself i will remember you because of the so called list of shame you announced at mwembe yanga. Ile pekee ndio atleast umejaribu kuonyesha uwajibikaji kama kiongozi wa upinzani pamoja na ukweli kwamba pia yale majina ulipewa kama zawadi ili uyataje na kukujengea political popurality ambayo haukuwa nayo kabla ya hapo. Pia kujenga umaarufu chama chako huku ukiandaliwa kama kiongozi utakayekuja shika nafasi ya juu katika chama chako na kuhakikisha kina Zitto kamwe hawapati nafasi hizo. Kubwa unaloweza kutangaza chuki katika taifa. Kutangaza udini kanakwamba wewe na chama chako mna mpango wa kuja kuongoza hili taifa katika misingi ya kidini. Hauna mambo ya msingi uyasemayo kuhusu ustawai wa taifa letu changa ila unachojua ni majungu. Poor slaa.
Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa
Makamanda tukotayari kukabidhiwa nchi na mah.uni, ya ccyem yanayopagawa yakisikia jina chadema.
Kwanza tokea lini nchi ikaongozwa na PADRE BANAA??
Aende akachunge kondoo zake huko,sisi sio wajinga kias hiko
Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa
Kufeli shule kitu kibaya sana, una chopa tatu, wakati huna pakuzipaki, una wafanyakazi huna ofisi miaka yote mnaishi nyumba iliyokuwa guest house. Chadema ni kipindupindu kwa taifa.
Basi utaskia baada ya kumalizika kwa ziara hiyo Freeman Mbowe anapeleka cheque kwenye chama eti anadai pesa alizokopesha,,!!
Ukiuliza pesa gani??na ruzuku imefanya nini??kimyaaa..
Hawa jamaa na SACCOSS yao sio binadamu kabisa,wna laana hawa
Wakuu kama nilivyowaeleza jana kuwa kutakuwa na mkutano mkubwa hapa Mbamba Bay watu wanaendelea kumiminika uwanja wa Polisi hapa Mbamba Bay wakimsubiri Dk. Slaa.
Mch. msigwa ameshawasili hapa pamoja na viongozi wengine, katibu wa chama wilaya anamkaribisha mch. Msigwa naye anawasalimia wananchi na moja kwa moja anawaambia kuwa Rais wetu ni mtalii nchi ina rasilimali nyingi lakini inafilisiwa na wezi yaani CCM.
Bado dk. Slaa hajawasili.
UPDATE:
Dk slaa kawasili kwa helikopta analakiwa kwa vifijo na nderemo na vigelegele akina mama wanalala chini hali inayomzuia kuendelea kuelekea jukwaani ...hatimaye anapanda jukwaani anakaribishwa mara moja ili kwenda na wakati....anaanza kwa salaamu ya chama then anaomba radhi kwa kuchelewa anawaambia wanyasa kuhusu maendeleo chini ya serikali hii ya CCM wasahau kwani hawana jipya wamechoka hawana visheni....anagusia kuhusu safari za rais anawaambia wanyasa safari ya juzi ya JK ni ya 358 tangu aingie madarakani hana muda na watanzania na watz waliomchagua .......anaendelea.... CCM wana mpango a kuhujumu mchakato wa katiba mpya hawataki kuona katiba ya watanzania wote inapatikana....anawaambia wananchi kuwa zaidi ya 72% ya mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya ni ya Chadema....anawaambia vijana wajitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu anamaliza na kuondoka kuendelea na ratiba maeneo mengine.
View attachment 133720View attachment 133720View attachment 133722View attachment 133724View attachment 133750
Wewe unajua kazimya ruzuku kweli ndiyo maana mnaamniwe jielimisheni kwanza kabla ya kufanya lolote ona unavyotia aibu sasa.