Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

wazazi wako wamefanywa wajinga na ccm kwa miaka 52 hujalalamika,mwaka huu utakufa kwa kihoro shauri lako.

Ujinga ambao hauna hasara hauna shida ila akili na mawazo yenu chadema ni kipindupindu kwa taifa. By the way mziki wa NCCR umeingia live, bendi chadema jipangeni
 
natamani Pdiddy ndo angekuwa ana update... Pasingekalika humu.
 
Teh teh teh ccm chali,Nape wapi iyoooo hahahaaaa Kinana kimya baada ya Jk kutangaza baraza la Mawaziri...

,
,..
Nape na Kinana wangekuwa wazalendo mara tuu baada ya mwenyekiti wao kutangaza cabinet mpya could have taken political responsibility
 
Kweli ahadi zako ni za kweli jana nilisoma post yako. Nikatamani leo ifike nione
 
Tumaini Makene
Kurugenzi ya Habari
walipaswa kutupa live update
na picha za ukweli utashangaa hiyo kazi wanaachiwa ccm waweke picha za baada au kabla ya mikutano.

Kweli mkuu, wangegawana majukumu ila kila kundi liwe na mtoa habari. Picha inategemeana na camera. Ila pia si haba magamba walifikiri saliti wao ataitikisha CDM. CDM is more than ZZK Saliti!!! CDM belongs to truly and dedicated citizens of this country. Hata aondoke Mbowe na Slaa CDM itadumu tu. Ni chama pekee ambacho hakikubali kufunga ndoa na SSM.
 
Ujinga ambao hauna hasara hauna shida ila akili na mawazo yenu chadema ni kipindupindu kwa taifa. By the way mziki wa NCCR umeingia live, bendi chadema jipangeni


Nccr hii ya kina mkosamali au mpya
 
BIG up sana CDM.bora mmeenda kuwaamsha wazee na vijana wenzangu wa kinyasa.huko ndio mtaji wa kura za magamba unakopatikana.
 
Kufeli shule kitu kibaya sana, una chopa tatu, wakati huna pakuzipaki, una wafanyakazi huna ofisi miaka yote mnaishi nyumba iliyokuwa guest house. Chadema ni kipindupindu kwa taifa.
 
Unaijua vizuri mbamba bay au unaweweseka we gamba hivi kama unaelekea mahakama ya mwanzo kuna nini.....usiongee usichokijua nyau we...muulize ndg ya Butola aliyekuwa anabisha bisha jana hapa kwa hoja dhaifu...mwambie atokee na hapa baada ya kuwa mkutano umeshafanyika

hakuna mtu mwenye akili timamu atakayebisha kuwa mkutano wowote utakaofanyika Mbambabay tena mhutubu akija na helkopta utapata wahudhuriaji wengi,Kumbuka leo ni siku ya kihistoria kwa wengi huko kuona hiyo helkopta,na by the way wasipoenda mkutano huu watapoteza muda wapi?
 
Kama safari za JK zimefikia 358, yaani jumla yake ni karibu sawa na siku za mwaka mmoja; na kama tukisema kuwa katika kila safari alitumia siku 2 tu huko nje, basi ni sawa na kusema kuwa ha.tu.ku.wa na raisi kwa miaka miwili katika miaka minane ya JK ikulu. Kwa lugha nyingine: based on my assumption that JK spent only 2 days in each trip, basi ni sawa na kusema kuwa, asilimia 25% ya muda aliokaa JK ikulu ameutumia angani (nje ya nchi).
 
Ujinga ambao hauna hasara hauna shida ila akili na mawazo yenu chadema ni kipindupindu kwa taifa. By the way mziki wa NCCR umeingia live, bendi chadema jipangeni

Nachoshukuru ni kitu kimoja tu,wewe ulikuwa chadema kwa kazi maalumu na baada ya mipango yenu kusanukiwa ukajifanya kujiondoa cdm wakati hata kadi ya uanachama huna na sasa unatapatapata tu hujui hata ushike lipi uache lipi,mara unatetea ccm mara mzuki wa nccr umeingia live,kifupi mafanikio ya cdm YANAKUUMIZA angalie usije jionyoga tu
 
Hizi update leo sijui tutazipanguaje maana ni balaa... Nafurahi kusikia kikosi cha Mashambulizi ya kwenye Mitandao ya Kijamii kipo Imara....Na kimebana kona zote....So hope tutapata update safi bila chenga..
 
kiongozi makini alie wai kutokea tkt aridhi ya tanzania..viva dr slaa.
 
Leo Dr. Slaa akizungumza na wa Mbamba bay amesema safari ya mwisho ya JK ilikuwa ni ya 358.

Kama safari za JK zimefikia 358, yaani jumla yake ni karibu sawa na siku za mwaka mmoja; na kama tukisema kuwa katika kila safari alitumia siku 2 tu huko nje, basi ni sawa na kusema kuwa ha.tu.ku.wa na raisi kwa miaka miwili katika miaka minane ya JK ikulu. Kwa lugha nyingine:
based on my assumption that JK spent only 2 days in each trip, basi ni sawa na kusema kuwa, asilimia 25% ya muda aliokaa JK ikulu ameutumia angani (nje ya nchi).
 
Back
Top Bottom