Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Kila mtu na tecno yake anapga picha. Dkt anapigiwa makofi hata kabla hajatua!! Dkt huyu hapa chini wanamama wote wanapga dokta,dokta,dokta! Songea imesimama kwa muda
 
Hongereni wanasongea na wanaruvuma kiujumla,ni muhimu mwaka 2015 mkoa wa ruvuma ukatoa mbunge wa upinzani! Maana wabunge wengi wa mkoa huo ni mizigo!
 
Msigwa,namuona hapa,docta anazungukwa hapa ndugu wanajf. Rais,rair,rais, mbogoro namuona hapa,fuime
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Dr. Slaa apite maeneo mbalimbali ya wilaya ya mbinga, kama kingerikiti, maguu, litembo na kwingineko! Pia awaamshe wanambinga, maana mafisadi kupitia ccm wamewalaza usingizi mzito wana mbinga na wanaruvuma kiujumla![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Apite na maeneo ya Tunduru wanancchi wanashauku kubwa
 
Tunakuaminia sana kamanda Fuime mwenyekiti chadema mkoa.

Jipange uchukue jimbo, tunakukubali sana kamanda
 
Ruvuma wajue kuwa kuna chama mbadala cha kuwaletea mabadiliko ktk maisha yao. Ruvuma kwa uzalishaji safi lakini mrejesho?
 
Namuona barmaid wa baa ya mtini pale town,dah hadi hausigeli wa jirani yupo! Watu ni wengi na nchimbi anapondwa balaa. Red brigade wapo wakutosha na miwani yao! Kuna madogo wanakamua kiduku jukwaani kwani mwanacotilide anatumbuiza hapa!
Mkuu nakushauri uwe mkweli wa nafsi yako. Watanzania wanahitaji mambo mengi ya msingi kwa ajili ya maisha yao ya kila siku. Kwa hali ilivyo sasa CDM ndo tegemeo la watanzania wengi. Popote aendapo Dr.W.Slaa hupokelewa kwa shangwe kwa sababu ya upeo wake mkubwa na dhamira yake ya ukombozi kwa watanzania wote,
 
Last edited by a moderator:
Chadema kila mahala tupo, mweee mkija hata katumbba songwe kule mpakani na malawi nami ntakua live
Namuona barmaid wa baa ya mtini pale town,dah hadi hausigeli wa jirani yupo! Watu ni wengi na nchimbi anapondwa balaa. Red brigade wapo wakutosha na miwani yao! Kuna madogo wanakamua kiduku jukwaani kwani mwanacotilide anatumbuiza hapa!
 
CCM kama sikio la kufa hata ukiipa dawa gani halisikii dawa na
la kuvunda halina ubani hata ukipulizia pipa la pafyumu litavunda tu
 
Mbogoro ndo anaongea hapa, huyu jamaa apewe jimbo tu.
Anasema watanzania tukahiji kwenye mnara wa mwangosi. Italipwa damu ya mwangosi wanajf semeni amina!!
Anawashangaa ccm wanailalamikiaje serikali!
 
Namuona barmaid wa baa ya mtini pale town,dah hadi hausigeli wa jirani yupo! Watu ni wengi na nchimbi anapondwa balaa. Red brigade wapo wakutosha na miwani yao! Kuna madogo wanakamua kiduku jukwaani kwani mwanacotilide anatumbuiza hapa!

Lete mambo mkuu....Tunadaka kama makinda ya ndege.......

Hakika CDM inatikisa nchi..
 
Ahsante sana kwa taarifa motomoto wananchi kweli sasa hivi wanafahamu wajibu wao kukomboa nchi yao toka mikononi mwa wakoloni weusi
 
Anazungumzia mgogoro wa pale st.joseph university ambapo jana wanafunzi walichapwa viboko na polisi,ni tukio la kulaaniwa. Msigwa ndo anapanda hapa,watu weweeeeweeee!!
 
Kila mtu na tecno yake anapga picha. Dkt anapigiwa makofi hata kabla hajatua!! Dkt huyu hapa chini wanamama wote wanapga dokta,dokta,dokta! Songea imesimama kwa muda

Songa mbeleeeeeeee CDM.....Twanga kotekote mpaka kieleweke..
 
Msigwa anasema cdm inaunganisha watz wote katika kumtoa adui maskini unaoletwa na maccm. Watu wote hawa wangekuwa wanapga kura ingekuwa mzuka kinoma!
 
Back
Top Bottom