Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Hongera Rais wa Mioyo ya watu kwa Hotuba Nzito.Nchi imetikisika.
 
Anakubali kuloa na mvua hapa anasema tukomae tu. Anasema operesheni itaendelea hadi disemba mwaka huu. Anasema watz tunaunganshwa na matatizo yetu.
 
Dr. Slaa aliwapa muda akina Kinana na Nape watekeleze walichowaahidi wananchi kwenye Ziara yao iliyojikita kwenye kuwaondoa mawaziri mizigo lakini wameshindwa; sasa Dr. Slaa ana kazi moja tu kuwaambia kuwa Ccm haina jipya kwa watanzania ni ile ile Jana Leo na hata milele.. Chadema tumaini jipya kwa watanzania wa kizazi hiki na vizazi vijavyo!
 
asante sana dr slaa majeshi ya ukombozi tunaomba tuwapeleke mkuku mpaka watoke madarani ili akili kubwa ikapige kazi pale magogoni.
 
Dokta anahtubia huku amewekewa mwavuli. Mvua ni kubwa hapa watu wananyeshewa hawatoki! Ayaaa nusu ya uwanja nikiwemo mimi tumekimbia kidogo kujfcha ila panasikika.
 
Anasema watz tusitenganhshwe na dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu. Mvua imekata watu wanarejea uwanjani. Tumeloa chapa chapa
 
Anasema watz tusitenganhshwe na dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu. Mvua imekata watu wanarejea uwanjani. Tumeloa chapa chapa

Mkuu naona unajitekenya unacheka mwenyewe, lakini hata tecno huna kamanda utuwekee picha? Au mwambie makene azame library atuwekee hata za 2010 kama kawaida yake
 
CHADEMA hongereni sana kuleta msukumo wa kisiasa tanzania. hongereni pia kwa kuimarisha upinzani tanzania. Hongereni pia kwa kuisakama serikali kwa mambo ya kipuuzi. Angalau sasa hivi tunaoma faida za misukumo mliyoonesha. Hata hivyo, kwa hili la ufisadi na rushwa, nasikitika kusema ngoma ni nzito kwenu. HAMTALIWEZA kwani wala rushwa na misadi wengine wanatoka hukohuko kwenye chama chenu.
 
CDM ni kama maji,usipoyaoga basi utakunywa,utafulia au utapikia!
 
Kusafisha macho sio mbaya,haka kamvua kamelowesha mashati ya mademu basi burudaniiiii! Mvua imeongezeka hapa watu bado wamejaa
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Dr. Slaa apite maeneo mbalimbali ya wilaya ya mbinga, kama kingerikiti, maguu, litembo na kwingineko! Pia awaamshe wanambinga, maana mafisadi kupitia ccm wamewalaza usingizi mzito wana mbinga na wanaruvuma kiujumla![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Apite na maeneo ya Tunduru wanancchi wanashauku kubwa
 
Back
Top Bottom