Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa
 
unaonekana kilaza wa kutupwa..cdm wamelinda rasilimali gani za taifa?

na umesoma jografia gani ya kuifananisha mbamba bay na congo?..div5 loading.............

hatujadili mtu, tuna jadili hoja bwana we vipi kijana?
Japokuwa jukwaa limeboreshwa wewe bado hubadiliki?

Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz, mbona una nuna itiki basi!
Angalau kinyonge "sema powaa.
 
Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa

hujaenda kubeba bango mbinga au nauli kubwa
 
Unaonekana kilaza wa kutupwa..CDM wamelinda rasilimali gani za taifa?

Na umesoma Jografia gani ya kuifananisha Mbamba bay na Congo?..dIV5 Loading.............

Mkuu mbona povu linakutoka hivo?
Kwani ni Uongo kuwa Chadema Chama Makini,
Ni Walinzi wa Rasilimali za Taifa? Huhitaji kuwa na Shahada kung,amua hilo.
poor you
 
Wakuu, kama nilivyowaeleza jana kuwa kutakuwa na mkutano mkubwa hapa Mbamba Bay watu wanaendelea kumiminika uwanja wa Polisi hapa Mbamba Bay wakimsubiri Dk. Slaa.

Mch. msigwa ameshawasili hapa pamoja na viongozi wengine, katibu wa chama wilaya anamkaribisha mch. Msigwa naye anawasalimia wananchi na moja kwa moja anawaambia kuwa Rais wetu ni mtalii nchi ina rasilimali nyingi lakini inafilisiwa na wezi yaani CCM.

Bado dk. Slaa hajawasili.

It is good timing for CDM, nawashauri msimwongelee ZZK kwani mtamrudisha tena kwenye news midia (kama kawaida kwa sasa si habari kwa watanzania). Ongeleeni baraza la mawaziri, matamko ya Kinana na Nape kuhusu mawaziri mizigo, maamuzi ya kikao chao cha CC kuhusu mawaziri mizigo, mwenyekiti wao (JK) kutokuwaondoa mawaziri mizigo pamoja na udhaifu wa baraza zima. Ongeleeni pia athari za kupanda bei ya umeme kwa maisha ya mtanzania wa kawaida, ongeleeni katiba mpya kama mlivyo panga na umuhimu wa chama ni msingi katika kuleta ukombozi mpya wa watanzania.

Naomba mwongezee agenda nyingine.
 
Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa

Kwa akili zako fupi unaona hizo pesa ni muhimu Kuliko katiba.?
 
chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa

unaongozwa na hisia za kifi.sadi za mzee wako,

"you have to know that dk.slaa id' da next president of our nation,after this corrupt man, mr.jei kei kiwete.
 
Njaa mbaya,wakati wa kupiga kura wengi wanabadilika wanafuata mnuso.

Ndio maana ya operesheni hii mkuu watu wapate voters education. Wapate fundisho toka mikoa mingine ambayo imeshaamka kisiasa kuwa unaweza kula ubwabwa na kupata kofia toka CCM na ukaipeleka kura yako kwa chama kingine kilichoweka mgombea makini. Tatizo watu wanadanganywa kuwa eti usimpopigia atafahamu, aaa wapi. Elimu ni muhimu sana ila uzuri mmoja kadri miaka inasonga watu wanaelimika na vitisho vinakuwa havina nafasi tena. Cha msingi watu wahamasishwe wapate kadi ya mpiga kura na wajitokeze kupiga kura kwa amani. Iko siku tu hali itaeleweka tu.
 
It's called politics...

Ni kama tu vile Mwigulu, Nnauye n.k wafanyavyo kwenye majukwaa ya siasa.

Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wenye akili za kuazimwa.

Chadema inaenda kumwaga sumu kwa wananchi, they got nothing good to say about themselves thts why they are spending much time to say bad thing and preach hatrate over government. Shame on you Dr slaa, itakuwa ni vyema ueleze km ulemkopo umeurudisha ama laa
 
huo mlima umetoka wapi wakati uwanjani hapana mlima, hii inaonesha ulivyo bingwa wa kuchakachua mkuu!
 
wapi CCM piga kelele!
CCM pua! pua! pua! kila mahali pua! pua!
heheheheheheheheheheeheh!
 
Kwa akili zako fupi unaona hizo pesa ni muhimu Kuliko katiba.?

Mkuu naona ushalishwa unga wa ndere huone tena, najua ukiwa chadema kuulizia matumizi ya ruzuku ni mwiko, ila it has to end somewhere. Zinapigwa tu mitikasi, ziara watu wanapataa per dm tuu
 
It's called politics...

Ni kama tu vile Mwigulu, Nnauye n.k wafanyavyo kwenye majukwaa ya siasa.

Mtaji wa wanasiasa ni wananchi wenye akili za kuazimwa.

Ujinga wa wananchi ndio shamba la chadema
 
Back
Top Bottom