LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

KUBWA KULIKO: "Unatumia ushabiki wako wa mpira kukandamiza timu nyingine” – Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitoa angalizo kwa viongozi wa serikali.

Je, unahisi ‘jiwe’ hili limemlenga nani?

#KubwaKuliko #YangaSC #DiamondJubileeJuni15 #TimuYaWananchi #WawekezajiNiWananchi

Jiwe hili moja kwa moja limemlenga Zahera aliyetumia ushabiki wake kusaidia AS VITA kuikandamiza Simba SC
 
Mwenyekiti aliwaahidi mwaka 1 Timu itapata muwekezaji.. sasa sijui huyo tajiri yanga itakuwa mke wake wa pili?... wana maneno bila akiba mkuu)
Nishasema haolewi MTU hapa, hayo mambo mnayaweza ninyi Mikia.
 
Wakamuongezea rostam million 100.rostam akawaambia hapana. Shida zenu haziwezi kuisha kwa siku moja
Mi nauliza tu yanga hivi kila mwaka mtakua mnachangisha watu pesa za bure tu kizembe yani million mia 5 . My friend there is no free money in world capitalism.
 
Mi nauliza tu yanga hivi kila mwaka mtakua mnachangisha watu pesa za bure tu kizembe yani million mia 5 . My friend there is no free money in world capitalism.
Hivi za Simba hazitoki kwa watu, mmetoa nini mkapewa hiyo hela? Ongea kwa Vielelezo . Kuna timu inajirndesha nchi hii bila kutegemea mtu binafsi? Nitajie moja.
 
UTAMBULISHO WA WACHEZAJI WALOKWISHASAJILIWA YANGA.
Hawa hapa wamekwishamalizana na yanga tayari
ISSA BIGIRIMANA TOKA RWANDA
PATRICK SIBOMONA TOKA RWANDA.
MAYBIN KALENGO TOKA ZAMBIA
SADNEY URICKHOB.TOKA NAMIBIA
MUSTAFA SULEIMAN TOKA BURUNDI.
BALINYA JUMA TOKA UGANDA
ABDULAZIZI MAKAME,
LAMINE MORO TOKA GHANA
Naendelea kukuletea updates za uhakika toka kubwa kuliko.
Ukinuna uwe na sababu
Mara nyingi wachezaji toka Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, na Kenya wanakuja kucheza ligi yetu na wanalipwa vizuri, ila ni mara chache sana kusikia wachezaji wetu wakienda kwenye ligi zao nini sababu hasa?
 
Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
Kubwa kuliko gani watu wanapunguziana juice? Hii ni ndogo kuliko bila shaka.
1128811
 
KUBWA KULIKO
[emoji681]Wachezaji wapya 8 Waliotambulishwa leo rasmi kuwa Wachezaji wa klabu ya Yanga SC.

01. Juma Balinya - Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Uganda aliyekuwa mfungaji bora wa ligi kuu Uganda Msimu uliopita.

02. Mustafa Suleiman - Mchezaji wa Kimataifa kutoka Burundi

03. Kalengo Maybin - Ana umri wa Miaka 21 ni mshambuliaji Zesco United.

04. Sunday - Mchezaji wa Kimataifa kutoka Namibia

05. Lamine Moro - Beki kutoka Ghana

06. Patrick Sibomana - Winga kutoka timu ya taifa ya Rwanda

07. Issa Bigirimana - Mshambuliaji kutoka katika club ya APR na timu ya taifa ya Rwanda.

08. Abdulaziz Makame - Kiungo fundi kutoka Zanzibar.
Yule Golikipa mbona tetesi hazijakamikika?
 
KUBWA KULIKO: "Unatumia ushabiki wako wa mpira kukandamiza timu nyingine” – Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitoa angalizo kwa viongozi wa serikali.

Je, unahisi ‘jiwe’ hili limemlenga nani?

#KubwaKuliko #YangaSC #DiamondJubileeJuni15 #TimuYaWananchi #WawekezajiNiWananchi


Maneno yenye hekima sana haya, Nadhani Viongozi wa Serikali na TFF kwa ujumla ili wajifunze na Wabadilike.
 
Hivi za Simba hazitoki kwa watu, mmetoa nini mkapewa hiyo hela? Ongea kwa Vielelezo . Kuna timu inajirndesha nchi hii bila kutegemea mtu binafsi? Nitajie moja.
Mkuu hakuna.. timu zetu ni masikini mno
 
Mara nyingi wachezaji toka Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, na Kenya wanakuja kucheza ligi yetu na wanalipwa vizuri, ila ni mara chache sana kusikia wachezaji wetu wakienda kwenye ligi zao nini sababu hasa?
Ukiondoa ligi ya congo hizo zilizobaki ni ligi ipo juu hata malipo.. kingine ni wachezaji wetu kuridhika mapema.
Lakini pia mkuu kuna watanzania wengi tu wanacheza huko sema tu nchi yetu haiwafatilii mpaka wajitambulishe au waombe kuja timu ya taifa.
 
Mara nyingi wachezaji toka Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, na Kenya wanakuja kucheza ligi yetu na wanalipwa vizuri, ila ni mara chache sana kusikia wachezaji wetu wakienda kwenye ligi zao nini sababu hasa?
Sababu nchi hizo hazilipi vizuri
 
Back
Top Bottom