Halafu wakubwa wanakufa mapemaLIVE UPDATES
Baba wa manara on the stage.
Unaambiwa yanga hupendwa na wakubwa na simba hupendwa na watoto.
Jibu ni kuwa analeta kwa mapendekezo ya kocha. Kocha anasema fulani yeye anaenda Kumalizana nae. Swali jingine
Umasikini bye bye 👋👋👋#KubwaKuliko Tamasha la kuichangia Yanga (Sh)
1. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa--- Milioni 10
2. Jakaya Kikwete-Milioni 5
3. GSM-Milioni 300
4. Rostam Aziz milioni 200
5. Kamati-Uhamasishaji milioni 50
6. Wabunge mashabiki milioni 40
7. Kamati ya utendaji milioni 50
Halafu wakubwa wanakufa mapema
Naona ukumbi umejaa wahuni
Sasa yeye anamalizana naye kama nani?
Katibu wa team?
mkurugenzi wa ufundi?
rais wa team?
mwenuekiti kamatbya usajiri?
Pole sana wengine mpira hatujaujulia Azam Tv, karibu JangwaniKiongozi, wakaushie unaweza kujikuta unajibizana na mtu asiye fahamu hata midfielder ni nani na majukumu yake ni nini
Ni kweli ila Fey toto yuko anavigezo vingi kuliko mkude.... Maana wamekutana ma4 ila mara 3 Mkude kapotezwa achana na timu ya taifa ambayo Mkude ajulikanMkuu si kila mtu ana vigezo vyake
View attachment 1128150
KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum kwaajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.
Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti kila mwaka na siku ya kilele chake kutafanyika tukio kubwa litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam likiambatana na utambulisho wa wachezaji wao wapya.
“Tumepanga tuwe na Wiki ya Mwananchi’, ambapo wanachama wa Yanga watafanya usafi maeneo katika hospitali, masoko na kutoa misaada mbalimbali. Wiki hiyo ikikamilika tutakutana Uwanja wa Taifa”.
Amesema wamemuomba Rais Magufuli na endapo ataridhia tukio hilo litafanyika mwaka huu ambapo miongoni mwa mambo yatakayofanyika ni kutambulisha wachezaji wao wapya wanane ambao wamesajiliwa kutoka nje ya Tanzania kwaajili ya msimu ujao.
NB
Huu ni moja ya ushauri wangu katika Waraka niliyouandika mwezi May 22, 2019. Ama kwa hakika Yanga kwa mfumo huu watakuja kuwa wazuri sana katika mifumo ya uchumi na mahusiano na jamii.
Big Up
“ mume wangu alitoa pesa taslimu ndio likanunuliwa hilo jengo ambalo Simba wanalimiki mpaka leo “
Mama Fatma Karume
SawaTuliwashauri zamani nyinyi Mapopoma FC muige Simba Day ili kujiongezea Kipato! Tunashukiru mumekubali ushauri wetu.
Sasa vipi yupo bongo si ilitakiwa awe afcoan, au na yeye kama ya Ajibu yamemkuta
Huu ndiyo umbumbumbu aliousema RageKwahiyo Mzee Kolomoni ndiye Mume wa Fatma Karume aliyeyanunua jengo la Simba SC? Coz anajiita ana hati za kuyamiliki!!!!!
#Ndala bhana
Dah! Hapa umeuliza swali gumu kweli!!! Wenye Uwezi wako Egypt! Magarasa yapo kwenye harambee ya Bakuli kubwa kuliko.
KUBWA KULIKO: "Unatumia ushabiki wako wa mpira kukandamiza timu nyingine” – Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitoa angalizo kwa viongozi wa serikali.
Je, unahisi ‘jiwe’ hili limemlenga nani?
#KubwaKuliko #YangaSC #DiamondJubileeJuni15 #TimuYaWananchi #WawekezajiNiWananchi