LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

UTAMBULISHO WA WACHEZAJI WALOKWISHASAJILIWA YANGA.
Hawa hapa wamekwishamalizana na yanga tayari
1128112

ISSA BIGIRIMANA TOKA RWANDA
PATRICK SIBOMONA TOKA RWANDA.
MAYBIN KALENGO TOKA ZAMBIA
SADNEY URICKHOB.TOKA NAMIBIA
MUSTAFA SULEIMAN TOKA BURUNDI.
BALINYA JUMA TOKA UGANDA
ABDULAZIZI MAKAME,
LAMINE MORO TOKA GHANA
Naendelea kukuletea updates za uhakika toka kubwa kuliko.
Ukinuna uwe na sababu
 
UTAMBULISHO WA WACHEZAJI WALOKWISHASAJILIWA YANGA.
Hawa hapa wamekwishamalizana na yanga tayariView attachment 1128112
ISSA BIGIRIMANA TOKA RWANDA
PATRICK SIBOMONA TOKA RWANDA.
MAYBIN KALENGO TOKA ZAMBIA
SADNEY URICKHOB.TOKA NAMIBIA
MUSTAFA SULEIMAN TOKA BURUNDI.
BALINYA JUMA TOKA UGANDA
ABDULAZIZI MAKAME,
LAMINE MORO TOKA GHANA
Naendelea kukuletea updates za uhakika toka kubwa kuliko.
Ukinuna uwe na sababu

Mustafa Suleiman kutoka Burundi anacheza namba fani
 
UTAMBULISHO WA WACHEZAJI WALOKWISHASAJILIWA YANGA.
Hawa hapa wamekwishamalizana na yanga tayariView attachment 1128112
ISSA BIGIRIMANA TOKA RWANDA
PATRICK SIBOMONA TOKA RWANDA.
MAYBIN KALENGO TOKA ZAMBIA
SADNEY URICKHOB.TOKA NAMIBIA
MUSTAFA SULEIMAN TOKA BURUNDI.
BALINYA JUMA TOKA UGANDA
ABDULAZIZI MAKAME,
LAMINE MORO TOKA GHANA
Naendelea kukuletea updates za uhakika toka kubwa kuliko.
Ukinuna uwe na sababu
Mbona picha yako hauweki na wewe
 
DK.KIKWETE
Kwa kuwa yanga wameweka uchangiaji na wewe waziri umekuja hapa ukiwa shabiki wa timu nyingine ila leo toa, tena umpigie na rais atoe kwa kuwa hata mimi niliye shabiki wa yanga nilichangia kwa kutoa pesa yote iliyonunuliwa uwanja wa pugu na leo mnatamba
 
View attachment 1128129"Kama nilivyofanya kwa Fei Toto na mwaka huu naleta kitu tayari nimeshamalizana nae, atatambulishwa muda ukifika na atafanya kazi kama Fei Toto" Mwigulu Nchemba.
Kwani yeye nikocha??

Tunataka wachezaji wanaopendekezwa na kocha na bench la ufundi..kila mtu akisema alete mchezaji wake timu itakua je
 
Wenzenu walipeana tuzo,nyinyi mnachangishana. Hii itawatisha sana wachezaji wa kigeni. Watakosa uhakika na salary
 
Wakati Simba wanahitaji eneo la mabwepande walinijia na kuomba mchango...Rais wa Simba, Aden Rage alinifuata kuomba mchango...nikawachangia Sh30,000 milioni
##KubwaKuliko @jmkikwete_
 
1128150

KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum kwaajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.

Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti kila mwaka na siku ya kilele chake kutafanyika tukio kubwa litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam likiambatana na utambulisho wa wachezaji wao wapya.

“Tumepanga tuwe na Wiki ya Mwananchi’, ambapo wanachama wa Yanga watafanya usafi maeneo katika hospitali, masoko na kutoa misaada mbalimbali. Wiki hiyo ikikamilika tutakutana Uwanja wa Taifa”.

Amesema wamemuomba Rais Magufuli na endapo ataridhia tukio hilo litafanyika mwaka huu ambapo miongoni mwa mambo yatakayofanyika ni kutambulisha wachezaji wao wapya wanane ambao wamesajiliwa kutoka nje ya Tanzania kwaajili ya msimu ujao.

NB
Huu ni moja ya ushauri wangu katika Waraka niliyouandika mwezi May 22, 2019. Ama kwa hakika Yanga kwa mfumo huu watakuja kuwa wazuri sana katika mifumo ya uchumi na mahusiano na jamii.

Big Up
 
Back
Top Bottom