LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
Sawa Mkuu! mbona huleti moja kwa moja kinachojiri huko wakati mambo nasikia yameshaanza kuwa fire!
 
Hakuna link youtube? SAA ngapi inaanza mbona update hakuna
Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
 
halafu walisema azam sports two wataonyesha,mbona kimnya tunaona mechi za marudio tu.
 
Hawa wachezaji mnaosajiri wanajua kama malipo yao yatategemea michango?
Ni afadhali hawa wanayajua yajayo kuliko wale watakaosajiliwa kwa hela nyingi halafu Mzee Kilomoni akikataa kuwapa Hati, mwekezaji wenu akajitoa katika huo ushirika. Kitakuwa kilio cha kusaga na meno kuanzia Wachezaji, Viongozi, Wanachama na Wapenzi wa timu hiyo.
 
Watageuka ng'ombe kila mahali itakua vilio vya Mo Mo Mo Kama kipindi alivyotekwa
 
Ni afadhali hawa wanayajua yajayo kuliko wale watakaosajiliwa kwa hela nyingi halafu Mzee Kilomoni akikataa kuwapa Hati, mwekezaji wenu akajitoa katika huo ushirika. Kitakuwa kilio cha kusaga na meno kuanzia Wachezaji, Viongozi, Wanachama na Wapenzi wa timu hiyo.
Na sisi tutatembeza bakuli kama nyie, tutawaiga hakuna shida
 
mleta uzi nidhani yuko ukumbini kumbe kakimbilia kuanzisha uzi tu, live updates hana
 
Back
Top Bottom