LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

Kiongozi, wakaushie unaweza kujikuta unajibizana na mtu asiye fahamu hata midfielder ni nani na majukumu yake ni nini
Hata mimi nasubiri Fei toto aivushe Starz makundi kama Mkude alivyofanya pale Simba.
na mipira yake ya kubutua mbele ambako hakuna wenzie.
 
Clouds kumbe hahaha huyo atakuwa shaffih Dauda , yule jamaa anaetuitaga underdog!! Hamna kitu kama hicho ase, waandishi wa habari wa bongo uongo mtupu
Ata ishu ya Bocco na Polokwane ali ishupalia sana
 
Hata mimi nasubiri Fei toto aivushe Starz makundi kama Mkude alivyofanya pale Simba.
na mipira yake ya kubutua mbele ambako hakuna wenzie.
Stars haipati hata point ya kuandikia kwenye magazeti kwa maoni yangu
 
Mi nauliza tu yanga hivi kila mwaka mtakua mnachangisha watu pesa za bure tu kizembe yani million mia 5 . My friend there is no free money in world capitalism.
 
Mkude aliamua mwenyewe kuto kwenda hana wa kumlaumu, maana alihudhulia mazoezi ya stars Siku moja tu.
Kuwa na kipaji bila discipline ni sawa sawa na sifuri
Kabisa.. nidhamu yake huku simba inatusaidia. sio mbaya yeye na wenzake wazembe wajipange upya
 
Mi nauliza tu yanga hivi kila mwaka mtakua mnachangisha watu pesa za bure tu kizembe yani million mia 5 . My friend there is no free money in world capitalism.
Mwenyekiti aliwaahidi mwaka 1 Timu itapata muwekezaji.. sasa sijui huyo tajiri yanga itakuwa mke wake wa pili?... wana maneno bila akiba mkuu)
 
Ni afadhali hawa wanayajua yajayo kuliko wale watakaosajiliwa kwa hela nyingi halafu Mzee Kilomoni akikataa kuwapa Hati, mwekezaji wenu akajitoa katika huo ushirika. Kitakuwa kilio cha kusaga na meno kuanzia Wachezaji, Viongozi, Wanachama na Wapenzi wa timu hiyo.
Sasa mkuu Mo kaja simba juzi hapa kwa hiyo timu ilikuwa haiendi kabla yake?
Kama nyie msioenda uwanjani mnachangishana vipi sisi tushindwe
 
Back
Top Bottom