LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

Dah! Hapa umeuliza swali gumu kweli!!! Wenye Uwezi wako Egypt! Magarasa yapo kwenye harambee ya Bakuli kubwa kuliko.
We utakuwa na mtindio wa ubongo si bure,Allan Wanga,Ajibu,Chilunda,Gervinho ,Kotei,unawajua? Mbona hawapo Afcon ila ni wachezaji wazuri?
 
Anaitwa Juma Balinya mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Police FC ya Uganda ana umri wa miaka 27.

Juma ndio mfungaji bora wa ligi kuu nchini Uganda msimu ulioisha alikuwa anawindwa na klabu ya Simba SC na sasa yupo ukumbini kwenye kubwa kuliko na atatambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.View attachment 1128074View attachment 1128091View attachment 1128125
Mikia wameliwa
IMG-20190615-WA0026.jpeg
 
Nikiripoti kutoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee nimimi Ndumbula Ndema mwanachama na shabiki nguli wa bingwa wa muda wote wa Tz.

Yanga itajengwa na wana Yanga wenyewe.
1128368


Daima mbele, nyuma mwiko
 
We utakuwa na mtindio wa ubongo si bure,Allan Wanga,Ajibu,Chilunda,Gervinho ,Kotei,unawajua? Mbona hawapo Afcon ila ni wachezaji wazuri?
Inawezekana hata hujui mpira hivi nafasi ya James Kotei kwenye timu ya taifa ya Ghana unajua wanacheza kina nani?

Achana na mbute hao wengine
 
Hivi jamani tuwe serious kidogo...duniani hapa ni timu gani nyingine inayoendeshwa kwa HARAMBEEE??? 😂 😂 😂
 
Inawezekana hata hujui mpira hivi nafasi ya James Kotei kwenye timu ya taifa ya Ghana unajua wanacheza kina nani?

Achana na mbute hao wengine
Kumbe umeanza kuelewa kuwa si wachezaji wote wazuri wanaweza kwenda Afcon,na Afcon siyo kipimo pekee cha ubora wa mchezaji ndiyo maana nilikuwekea kotei unayemwabudu Kilomoni fc kama mtego nawewe unaingia kichwa kichwa tu
 
Only in Tz!!!
Shabiki anamalizana na analeta na mchezaji wakati sio kocha, sio rais wa team wala sio mkurugenzi wa ufundi
We tulia tuliiii hata Fei Toto aliletwa kwa staili hyo na matunda si hata wewe unayaona amechukua nafasi ya mkude Taifa stars?
 
Kinda la Zesco United na timu ya taifa ya Zambia Kalengo Maybin atua Yanga SC akiwa na umri wa miaka 21 tu!. He is an immensely-talented striker, strong and powerful and a potent finisher.
1128382
 
Kumbe umeanza kuelewa kuwa si wachezaji wote wazuri wanaweza kwenda Afcon,na Afcon siyo kipimo pekee cha ubora wa mchezaji ndiyo maana nilikuwekea kotei unayemwabudu Kilomoni fc kama mtego nawewe unaingia kichwa kichwa tu
Kilomoni hana timu, ni mwanachama wa Simba sports club mkongwe, Simba ina assets nyingi mno na si jengo pekee!

Almost 98% ya wachezaji wazuri wameitwa kuchezea timu zao kama zilifuzu AFCON, kuna walioachwa kwa sababu za nidhamu na si uchezaji mzuri.

Kotei hana nafasi timu ya Taifa ya Ghana, Ajib na Mkude ni wachezaji wazuri ila nidhamu 0.
Balinya hana nafasi timu ya taifa ya UG si kwa sababu ya nidhamu ni maji kupwaa maji kujaa
 
Kwahiyo Mzee Kilomoni ndiye Mume wa Fatma Karume aliyeyanunua jengo la Simba SC? Coz anajiita ana hati za kuyamiliki!!!!!
#Ndala bhana
Amezungumzia kutoa pesa ya kununulia jengo sio kwamba alikwenda kununua jengo.
 
Kilomoni hana timu, ni mwanachama wa Simba sports club mkongwe, Simba ina assets nyingi mno na si jengo pekee!

Almost 98% ya wachezaji wazuri wameitwa kuchezea timu zao kama zilifuzu AFCON, kuna walioachwa kwa sababu za nidhamu na si uchezaji mzuri.
Unamuongeleaje Jackson Muleka?

Kotei hana nafasi timu ya Taifa ya Ghana, Ajib na Mkude ni wachezaji wazuri ila nidhamu 0.
Balinya hana nafasi timu ya taifa ya UG si kwa sababu ya nidhamu ni maji kupwaa maji kujaa
 
Back
Top Bottom