LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

Mr kilomoni ni bonge la genius, I stand with him
Genius sana na hivyo alivyokuja kutafuta huruma ktk mkutano wa rambirambi ndio ugenius wake umeongezeka maradufu.
Sasa sijui nyinyi mtamsaidia nini huyu genius wenu maana Simba ni mbele kwa mbele yaani nyie mtasubiri sana na huyo genius wenu.
 
Habari ndiyo hiyoo, kwisha, mmekwisha
 
Back
Top Bottom