Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Mkuu Viatu vya Samaki unayaona uliyokuwa unayapinga, huyu jamaa kashindwa kuni_quote kaishia kuhariri komenti yangu😝😝😝
Hujanielewa kaka,hilo suala nilikuwa namuelimisha Kilomoni fcGide MK
Mbona hiliswala linakuuma sana.
Alisema alishaongea na kocha kuhusu mchezaji wa ndani hachagui Mwigulu bali kocha .
Mwigulu kazi yake nikutoa pesa.
Tumia hata theluthi tu ya akili yako.
Hiyo 98 ya wapi, Kilomoni imepeleka wawili tu wale Waganda, Zana, Wawa, Kotei, Kwasi, Gyan wote hawapo hiyo asilimia inakujaje? Ungekaa kimya tusingejua umbumbumbu wakoKilomoni hana timu, ni mwanachama wa Simba sports club mkongwe, Simba ina assets nyingi mno na si jengo pekee!
Almost 98% ya wachezaji wazuri wameitwa kuchezea timu zao kama zilifuzu AFCON, kuna walioachwa kwa sababu za nidhamu na si uchezaji mzuri.
Kotei hana nafasi timu ya Taifa ya Ghana, Ajib na Mkude ni wachezaji wazuri ila nidhamu 0.
Balinya hana nafasi timu ya taifa ya UG si kwa sababu ya nidhamu ni maji kupwaa maji kujaa
Kaenda kushangaa mataa subiri mda ufike ndio utajua kilicho mpeleka hukoMacho kodo yupo huko Egypt unafahamu tukio linaloelekea kufanyika huko!?
Mjinga katika ubora wakoKwa maendeleo yake tu, Mkude anatakiwa atulize kichwa chini na role model wake awe Feisal amwangalie na kujifunza anavyocheza atajifunza mengi sana na pengine itapelekea awe mchezaji mahiri siku za usoni.
Sawa mwerevuMjinga katika ubora wako
Nashauri tu kama itaonekana inafaa kwa kuwa Naibu waziri Mavunde muda mwingi anautumia kuhudumu Yanga ni vema akaacha uwaziri ili muda mwingi awe pale Yanga ili ailetee mafanikio makubwa‘Nampongeza sana Mhe. Mavunde kama mpiga debe mkuu wa shughuli namshukuru sana Waziri Mkuu kwa Kukubali mualiko na kufika yapo maneno ya vijembe hapa unaambiwa ukubwa jalala Yanga na Simba utani ni wa kawaida. .
‘Ukiwa kwenye Uongozi wa Serikali kila timu inakuhusu utakuwa na akili mbaya kama utatumia uongozi wako kukandamiza timu nyingine kwasababu hata wale waliokuwa kwenye timu nyingine kiongozi wao ni wewe.’
.
“Kuna wakati Prof Sarungi na Juma Kapuya walikuwa Mawaziri wa michezo na hawa wote ni Simba kindakindaki lakini hawakutumia nafasi zao kuikandamiza Yanga”
@jakayakikwete #KubwaKulikoView attachment 1128153
Oyaaaa!! njooni kakomenti ujinga tenaHiyo 98 ya wapi, Kilomoni imepeleka wawili tu wale Waganda, Zana, Wawa, Kotei, Kwasi, Gyan wote hawapo hiyo asilimia inakujaje? Ungekaa kimya tusingejua umbumbumbu wako
Sawa mzee Akili mila..View attachment 1128308
Tupo na mzee wetu,mmiliki halali wa Kilomoni fc
Mbumbumbu wameanza kuwewesekaNashauri tu kama itaonekana inafaa kwa kuwa Naibu waziri Mavunde muda mwingi anautumia kuhudumu Yanga ni vema akaacha uwaziri ili muda mwingi awe pale Yanga ili ailetee mafanikio makubwa
Nashauri tu kama itaonekana inafaa kwa kuwa Naibu waziri Mavunde muda mwingi anautumia kuhudumu Yanga ni vema akaacha uwaziri ili muda mwingi awe pale Yanga ili ailetee mafanikio makubwa
Huu ni mtazamo wa kimaskini sana. Tunahitaji performance nzuri za timu zetu ili kuipandisha chati nchi.View attachment 1128218Waziri wa Michezo, Harrison Mwakyembe amesema msimu wa Ligi Kuu Bara 2019/20 wachezaji wa kigeni watano tu wataruhusiwa kucheza kwa kila timu kwenye mechi. #Kubwa kuliko
Mkumbushe kuwa Mwigulu alitoa ahadi hiyo siku ya uzinduzi kule Dodoma. Akaomba apewe jina moja akamilishe usajiliGide MK
Mbona hiliswala linakuuma sana.
Alisema alishaongea na kocha kuhusu mchezaji wa ndani hachagui Mwigulu bali kocha .
Mwigulu kazi yake nikutoa pesa.
Tumia hata theluthi tu ya akili yako.
Ase huyu mzee pia kanishangaza sana kwa kauli ile, alichokisema kina matter but sio kwa wakati huu, dunia imebadilika. Kuna haja kubwa ya huyu mzee kupata ushauri kwa wadau wa mpira juu ya hiki!! Serikali haitaki kuwekeza kwene mpira afu analeta sheria ambazo sijui anatoa wapi!! Pesa inatakiwa itumike kutengeneza vijana kwa nguvu zote, !! Huyu mzee anachukulia mpira juu juu tu. Kuna baadhi ya nchi huwa zinapeleka vijana kwene academy mbalimbali ulaya, sasa sijui serikali haitoi macho kwene hivi vitu!! Kama hii ishu ataipitisha basi timu zote nne zitakazotuwakilisha CAF zinarudi nyumbani round ya kwanza tu!!Huu ni mtazamo wa kimaskini sana. Tunahitaji performance nzuri za timu zetu ili kuipandisha chati nchi.
Lakini pia wachezaj wetu wananafasi nzuri zaid ya kuwa katika ushindani wa kupata nafasi na kuaminika kwenye timu zenye wageni. Tuachane na mawazo ya ruzuku ktk timu zinazohitaj mafanikio.
Yeah, vilabu ndiyo vinaamua na bodi ya ligiHuu ni mtazamo wa kimaskini sana. Tunahitaji performance nzuri za timu zetu ili kuipandisha chati nchi.
Lakini pia wachezaj wetu wananafasi nzuri zaid ya kuwa katika ushindani wa kupata nafasi na kuaminika kwenye timu zenye wageni. Tuachane na mawazo ya ruzuku ktk timu zinazohitaj mafanikio.
Karibu sanaSawa mzee Akili mila..
Ni maoni yako na yanaheshimiwaNashauri tu kama itaonekana inafaa kwa kuwa Naibu waziri Mavunde muda mwingi anautumia kuhudumu Yanga ni vema akaacha uwaziri ili muda mwingi awe pale Yanga ili ailetee mafanikio makubwa