Pamenoga hatariiiii,Mwananchi ndiye mjenga nchi, Yanga tutaijenga wanayanga wenyeweMpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
Bora sisi tunaichangia timu yetu wakati nyie mnakopeshwa na MOBakuli kubwa kuliko mabakuli yote
Acha Sisi tufanye harambee nyie mnakopeshwa,mkianza kulipishwa tusisikie keleleHivi ni vichekesho kwa nchi iliyofuzu afcon kusikia timu inaendesha maisha yake kwa harambee
Rage aligundua ndiyo maana aliwaita mbumbumbuWatageuka ng'ombe kila mahali itakua vilio vya Mo Mo Mo Kama kipindi alivyotekwa
Siyo mwekezaji,mkopeshaji,watajikuta katika billion 20,anawaambia tayari tumetumia 15,Mzee Kilomoni amegoma kuwa mbumbumbu kama wenzakeNi afadhali hawa wanayajua yajayo kuliko wale watakaosajiliwa kwa hela nyingi halafu Mzee Kilomoni akikataa kuwapa Hati, mwekezaji wenu akajitoa katika huo ushirika. Kitakuwa kilio cha kusaga na meno kuanzia Wachezaji, Viongozi, Wanachama na Wapenzi wa timu hiyo.
Bakuli kubwa kuliko mabakuli yote
Anaitwa Juma Balinya mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Police FC ya Uganda ana umri wa miaka 27.
Juma ndio mfungaji bora wa ligi kuu nchini Uganda msimu ulioisha alikuwa anawindwa na klabu ya Simba SC na sasa yupo ukumbini kwenye kubwa kuliko na atatambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.View attachment 1128074View attachment 1128091
Nadhani maana wao wanawachezaji wengi nje kuliko sisiSasa vipi yupo bongo si ilitakiwa awe afcoan, au na yeye kama ya Ajibu yamemkuta
Mbona watu wanaopiga ramli mnazzidi kuongezeka mjini?Watageuka ng'ombe kila mahali itakua vilio vya Mo Mo Mo Kama kipindi alivyotekwa
Nadhani maana wao wanawachezaji wengi nje kuliko sisi
Mbona watu wanaopiga ramli mnazzidi kuongezeka mjini?