Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Bado haijapatikana ya kunishawishi niishabikieKuna taifa stars ilobaki huku ndio unaishabikia?
Bado haijapatikana ya kunishawishi niishabikieKuna taifa stars ilobaki huku ndio unaishabikia?
Simba ni kubwa kuliko Mo... nafikiri Manji ameondoka na Yanga bado ipo
Unaitaka stars ya Ajib na Mkude?Bado haijapatikana ya kunishawishi niishabikie
Kuna taifa stars ilobaki huku ndio unaishabikia?
👇 unataka jibu gani tena wakati bado haijapatikana yenye kunivutia?Bado haijapatikana ya kunishawishi niishabikie
Unaitaka stars ya Ajib na Mkude?
Jiwe hili moja kwa moja limemlenga Zahera aliyetumia ushabiki wake kusaidia AS VITA kuikandamiza Simba SC
KUBWA KULIKO: "Unatumia ushabiki wako wa mpira kukandamiza timu nyingine” – Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitoa angalizo kwa viongozi wa serikali.
Je, unahisi ‘jiwe’ hili limemlenga nani?
#KubwaKuliko #YangaSC #DiamondJubileeJuni15 #TimuYaWananchi #WawekezajiNiWananchi
Wewe jinga. .hiyo ya Yanga ilikuwa timu nane bora Africa. .shubamit
Waziri mkuu na raisi mstaafu +mawaziri +wabunge +200m+300m hakika watajua hii ni timu kubwa Tanzania. .mzee Kilomoni ndaniWenzenu walipeana tuzo,nyinyi mnachangishana. Hii itawatisha sana wachezaji wa kigeni. Watakosa uhakika na salary
Feisal Ana miaka 20 kacheza final ya challenge akiwa na miaka 18..akiwa na 20 anaenda kucheza AFCON sasa Mkude amefanyia nini cha maana Tanzania. .FEI akifika miaka 28 ya Mkude atakuwa hayupo BongoHao ndio levo za mkude sio huyo macho kodo
Mechi zote za sisi dhidi yenu huyo dogo hakuoneka au me ndie nimesahau ebu nikumbushe au akuwemo kwenye kikosi?
Mpumbavu kakika ubora wakoFeisal Ana miaka 20 kacheza final ya challenge akiwa na miaka 18..akiwa na 20 anaenda kucheza AFCON sasa Mkude amefanyia nini cha maana Tanzania. .FEI akifika miaka 28 ya Mkude atakuwa hayupo Bongo
Na tifua tifua ya Msomali, maana wote SimbaJiwe la Wizarani hili
Pesa ya Kagere inategemea mzee Kilomoni atakavyokabidhi hati ya klabu.Isije kikao kizima mkatoka na milioni 200 pesa ya Kagere peke yake
Nani kasema habari ya hisa... mmewahiwi kupitisha bakuli kipindi cha Manji? kwani Msola sio mwenyekiti?Manji alikua mwenyekiti sio mmiliki wa hisa
jamaa kasema kweli usipanikiMpumbavu kakika ubora wako
Sija panikijamaa kasema kweli usipaniki
Ndio point 2?Wewe jinga. .hiyo ya Yanga ilikuwa timu nane bora Africa. .shubamit
Nani kasema habari ya hisa... mmewahiwi kupitisha bakuli kipindi cha Manji? kwani Msola sio mwenyekiti?
Vyura bhana
sasa mkude ana kombe gani ambalo feitoto hana!?Sija paniki
Hivi hayo aliyo yaongelea ndio mafanikio?
Watu wana vikombe eti wewe unajivunia kucheza final?
Kweli chura churani