albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,153
- 3,637
Nadhani ushalipata jibu mkuuFanya inaingiaje hapa kwenye kubwa kuliko, au na yeye yupo ukumbini
Nadhani ushalipata jibu mkuuFanya inaingiaje hapa kwenye kubwa kuliko, au na yeye yupo ukumbini
Hao ndio levo za mkude sio huyo macho kodoHivi huyu Mkude amewahi hata kukifikia kiwango cha Chuji, aende nje sasa kwa haya masifa mnayompa
Ningumu kukubali ila kwasababu mmemkosa lazima useme ivyoUdaku ndio unawasumbua aje simba acheze namba ya nan?
Ni kipenzi cha kocha kwa kuwa anaupiga mwingi, huyo anayepiga pasi za pembeni ligi nzima hana hata goli moja abaki huko huko Hati fc.
Hao ndio levo za mkude sio huyo macho kodo
Mechi zote za sisi dhidi yenu huyo dogo hakuoneka au me ndie nimesahau ebu nikumbushe au akuwemo kwenye kikosi?
Aje acheze namba ya nani au ya Okwi?Ningumu kukubali ila kwasababu mmemkosa lazima useme ivyo
We hata timu yako huna taarifa zake kumbe? Okwi ni mchezaji huru saizi aligoma kurenew mkataba hadi Afcon ipite na inasemekana anaenda South Africa,Kaizer ChiefAje acheze namba ya nani au ya Okwi?
HaaaaaaHaaaaaaaHaaaaa mwambieni kwanza akamuweke benchi pale Uganda ndio tutamfkilia
Nidham ipi unayo izungumzia?Fei na Mkude ni sawa tu sema Mkude nidhamu hana
Shabiki mwenzenu unamkana?Clouds kumbe hahaha huyo atakuwa shaffih Dauda , yule jamaa anaetuitaga underdog!! Hamna kitu kama hicho ase, waandishi wa habari wa bongo uongo mtupu
Kua muelewa Okwi kaitwa timu ya taifa akitokea club gan?We hata timu yako huna taarifa zake kumbe? Okwi ni mchezaji huru saizi aligoma kurenew mkataba hadi Afcon ipite na inasemekana anaenda South Africa,Kaizer Chief
Wewe unasema atacheza namba ya nani? Ndiyo maana nakuelewesha kilichopo,Okwi asiporudi comment yako itakuwa valid? Maana Okwi hana mkataba na Simba,mfano kamsoko mkataba umeisha lakini yuko Afcon na Zimbabwe,Sisi kamsoko basi tena ila nyie bado mnahangaika na Okwi, so viongozi wenu kuhangaika na usajili usidhani ni wajinga Mkuu.Kua muelewa Okwi kaitwa timu ya taifa akitokea club gan?
Mkude labda mlinganishe na Makapu, Fei kamwacha mbali sanaFei na Mkude ni sawa tu sema Mkude nidhamu hana
Namba hazdanganyiWewe unasema atacheza namba ya nani? Ndiyo maana nakuelewesha kilichopo,Okwi asiporudi comment yako itakuwa valid? Maana Okwi hana mkataba na Simba,mfano kamsoko mkataba umeisha lakini yuko Afcon na Zimbabwe,Sisi kamsoko basi tena ila nyie bado mnahangaika na Okwi, so viongozi wenu kuhangaika na usajili usidhani ni wajinga Mkuu.
Usipoelewa hapo basi tuishie hapo tu
kareport kituo chochote cha polisi kilicho karibu yakoMbona wanataka kuleta mkanganyiko na simba , kutenga mwezi mmoja wa haya matamasha!!
Ningumu kukubali ila kwasababu mmemkosa lazima useme ivyo
Wao wanachoali ni kulipwa, hela zinatoka wapi sio kazi yao!!!Hawa wachezaji mnaosajiri wanajua kama malipo yao yatategemea michango?