Mbona nyie mmeokota Beno hatusemi,acha umbumbumbuSimba ni timu kubwa sana kwa sasa, kila mchezaj wanayeokoteza yanga lazima wajisifie alikuwa anawindwa na timu ya simba. Hata huyu afande alosajiliwa leo mmezusha alikuwa anatakiwa na simba
Mbona wanataka kuleta mkanganyiko na simba , kutenga mwezi mmoja wa haya matamasha!!View attachment 1128150
KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum kwaajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.
Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti kila mwaka na siku ya kilele chake kutafanyika tukio kubwa litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam likiambatana na utambulisho wa wachezaji wao wapya.
“Tumepanga tuwe na Wiki ya Mwananchi’, ambapo wanachama wa Yanga watafanya usafi maeneo katika hospitali, masoko na kutoa misaada mbalimbali. Wiki hiyo ikikamilika tutakutana Uwanja wa Taifa”.
Amesema wamemuomba Rais Magufuli na endapo ataridhia tukio hilo litafanyika mwaka huu ambapo miongoni mwa mambo yatakayofanyika ni kutambulisha wachezaji wao wapya wanane ambao wamesajiliwa kutoka nje ya Tanzania kwaajili ya msimu ujao.
NB
Huu ni moja ya ushauri wangu katika Waraka niliyouandika mwezi May 22, 2019. Ama kwa hakika Yanga kwa mfumo huu watakuja kuwa wazuri sana katika mifumo ya uchumi na mahusiano na jamii.
Big Up
Nipendekezo tu,halijawa tayari kwa utekelezajiMbona wanataka kuleta mkanganyiko na simba , kutenga mwezi mmoja wa haya matamasha!!
Bibi wa Zanzibar ndo anayesajili?Hati hawana habari nayo wao wanataka Mshahara kwani nyie wakitaka waione hati mtawapandisha Boti waende kwa yule Bibi Zanzibar?
Dogo anaanza kuwa na mashaka kama kwa kuchangishana huku salary itapatikana kwa muda mwafakaAbdulaziz Makame kiungo fundi toka Zanzibar ametambulishwa rasmi kama mchezaji wa Yanga SC kwa mkataba wa miaka miwili huku akivalia jezi namba 10.View attachment 1128071
View attachment 1128129"Kama nilivyofanya kwa Fei Toto na mwaka huu naleta kitu tayari nimeshamalizana nae, atatambulishwa muda ukifika na atafanya kazi kama Fei Toto" Mwigulu Nchemba.
Fei haikuwa pendekezo la mwalimu ila si unaona kwa sasa amechukua hadi nafasi ya mkude timu ya taifa? Samahani lakini!!Kwani yeye nikocha??
Tunataka wachezaji wanaopendekezwa na kocha na bench la ufundi..kila mtu akisema alete mchezaji wake timu itakua je
Si unaona Fei kwa sasa amechukua nafasi ya Jonas Gerald Mkude timu ya taifa?Huu ndio ujinga tumeuacha Simba,yye kocha?analeta?
Fei haikuwa pendekezo la mwalimu ila si unaona kwa sasa amechukua hadi nafasi ya mkude timu ya taifa? Samahani lakini!!
#KubwaKuliko Baba mzazi wa Msemaji wa @simbasctanzania Haji Manara, Sunday Manara amewataka mashabiki wa Yanga wasitishwe na mwanane kwani kazaliwa Yanga, kalelewa Yanga.
Fei haikuwa pendekezo la mwalimu ila si unaona kwa sasa amechukua hadi nafasi ya mkude timu ya taifa? Samahani lakini!!
Timu ya taifa ya Tanzania inayonolewa na wewe au siyo!? Big up sana kwa kuifikisha taifa stars AfCONHuyo dogo nikipenzi cha kocha ila mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ni Mkude
Swali zuri hili atakuwa ameliona ila kulijibu yaweza kuwa ni kaa la moto kwake.Muulize yeye Ajibu anatakiwa Simba kwa Mapendekezo ya Nani
Mkude ni kiungo mchezeshaji,huyo Toto ni kiungo mchekeshajiSi unaona Fei kwa sasa amechukua nafasi ya Jonas Gerald Mkude timu ya taifa?