LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

LIVE: kubwa kuliko ya Dar Yanga African

Hao ndio levo za mkude sio huyo macho kodo
Mechi zote za sisi dhidi yenu huyo dogo hakuoneka au me ndie nimesahau ebu nikumbushe au akuwemo kwenye kikosi?
Kwa maendeleo yake tu, Mkude anatakiwa atulize kichwa chini na role model wake awe Feisal amwangalie na kujifunza anavyocheza atajifunza mengi sana na pengine itapelekea awe mchezaji mahiri siku za usoni.
 
#KubwaKuliko Tamasha la kuichangia Yanga (Sh)
1. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa--- Milioni 10
2. Jakaya Kikwete-Milioni 5
3. GSM-Milioni 300
4. Rostam Aziz milioni 200
5. Kamati-Uhamasishaji milioni 50
6. Wabunge mashabiki milioni 40
7. Kamati ya utendaji milioni 50
 
“ mume wangu alitoa pesa taslimu ndio likanunuliwa hilo jengo ambalo Simba wanalimiki mpaka leo “

Mama Fatma Karume
 
Katika mchango wake wa KUBWA KULIKO mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam muheshimiwa Paul Makonda ameichangia Yanga SC uwanja mkubwa ambao utajengwa Academy ya klabu hiyo kama alivyotanabaisha mwenyekiti wa klabu hiyo Mshindo Msolla.
1128280
 
“ mume wangu alitoa pesa taslimu ndio likanunuliwa hilo jengo ambalo Simba wanalimiki mpaka leo “

Mama Fatma Karume
Ni pesa za muke wake tu ndizo zilizonunua jengo la Simba?

Ama kweli ukizeeka unaanza kuwa punguani
 
Back
Top Bottom