kijana huyu ni fisadi,alishawahi kula pesa pale Mlimani wakati akiwa Waziri wafedha wa Daruso,alikula kama million 8,ila ana uwezo mkubwa wa kujieleza..Na John Daniel, Dodoma
Mgombea mwingine Diwani wa Ukonga, Dar es Salaam Bw. Jerry Slaa aliomba asihukumiwe kwa dhambi isiyo yake kutokana na jina lake la mwisho kufanana na mwanasiasa machahari wa kambi ya upinzani ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbrod Slaa
Alijitetea kwamba hana uhusiano wowote na mwanasiasa hivyo anaomba achague ili atoe mchango wake kwa CCM.
MAJIRA-05/11/2007
Mapya yanaweza yasiwe mengi lakini yapo!!! mfano mmojawapo ni kwamba Pius Msekwa ameahidi siasa za hoja na kuhakikisha watashirikiana na vyama vingine vya upinzani kwa kupitia kwenye muungano ule unaongozwa na Cheyo... pia amesema ndani ya CCM mijadala huru itaruhisiwa bila shaka!!
Hili ni jambo jema!!!
CMB kwa kweli tunakushukuru sana kwa kutuhabarisha vizuri na kwa ufasaha wa hali ya juu...si kama wababaishaji wengine hapa JF..ambao wanatukwaza kweli hata kusoma postings zao...Big up!! Hivi Matayo David hakugombea ama alichaguliwa kupitia kura za mikoani? ....
si kama wababaishaji wengine hapa JF..ambao wanatukwaza kweli hata kusoma postings zao....
tutafika kama wananchi wakichukua hatua,yuko wapi mtoto wa Kenyata,Uhuru kenyatta...haya mambo yana mwisho,tatizo nchi hii inaongozwa na system,na ukitaka kuharibu system yoyote ni kutoa fuse inayoruhusu umeme kupita..Ningeshangaa sana iwapo Hiza Tambwe na Thomas Ngawaiya wangeshida, ingekuwa sio kitu cha kawaida katika makundi husika waliyogombea. Hawa wasubiri nafasi za upendeleo toka kwa mkuu wa kaya, kwani pamoja na kurudi sisiemu bado hawana lao pale, sisiemu ina wenyewe, kama hawa:
Wafuatao 'Kama baba Kama mwana'
Adam Kighoma Malima
Violet Mzindakaya Majiyatanga
Nape Moses Nnauye
Hussein Alli Mwinyi
Amani Abeid Karume
Zainab Mfaume Kawawa
Tutafika tu!
Final Version!
Hawa ni Kundi la Wazazi Bara NEC CCM
Washindi kwa wanawake. CCM BARA
Sofia simba
Kate Silvia Kikamba
Asha baraka
Hadija Omari Kopa
Samsha Mwagunga
Rehema Nchimbi
Anna Malecela
Aisha Kidoga
Diana mkumba Chilolo
Anna Semamba Makinda
Pinde Chanda
Zakia Megji
Magret Sita
NOTE; Spelling za majina mengine nimekosea
Dr. Mathayo ameanguka!
CMB naomba ulete list ya walipiga chini ili mzee shukrani ziwe kamili mzee!!!
Jamani naomba kujua nini kimemtokea Nchimbi! ... Mbona jina lake halimo au hakugombea?