Live from LEO TUPO HAPA PUB

lakini kaka mm nampenda na kumzimikia kabisa kwanini ananifanyia hivi? wakati yeye anajua ananipa raha zote za chumbani jamani kaka? lakini nikishindwa ntarudi home kula ndizi na bata wangu niliwafuga siwapo au mmeshauza?
Acha kuumia aisee mwanaume kitu gani aisee
Kula kona rudi home ule raha za familia!
 
wewe lazima nipande ndege nzima ya fastjet ili niwe angani kukutafuta wewe hujui kuwa familia yangu inateketea kwa kumchukua mume wangu na kumpelekea pub sijui ni ya Mtambuzi hiyo pub nakuja sasa hivi hapo ama chako ama chanagu panachimbika sasa hivi ngoja nitoke hapa job weweeeeeeee
Ulifanya vizuri maana pange haribika ila mwambie hii JF nifamilia moja!!
 
Last edited by a moderator:
lakini kaka mm nampenda na kumzimikia kabisa kwanini ananifanyia hivi? wakati yeye anajua ananipa raha zote za chumbani jamani kaka? lakini nikishindwa ntarudi home kula ndizi na bata wangu niliwafuga siwapo au mmeshauza?
Hizo raha za chumbani kwani ni lazma zitoke nje ya familia?
Huwezi kuzipata ndani?
Lol :smile-big:
 
Ayaaa kumbe ni wewe.
Yule mhudumu alituambia ulikuja. Halafu ulipofika tu ukaanza kumtongoza mwenzao yule ukaondoka naye kabisa hata kikao hakijaanza.
Ndiyo maana tukaishia kuhudumiwa na wadada wawili tu!

CC: Mtambuzi

Bwana mii nna vichomi nikicheka sana mbavu zianuma!! Ila kwa ufafanuzi tu msichana anayeonekana kwenye picha ya post hii ndo nilipishana naye maeneo hayo na sikujua kama anakuja hapo mpaka nilivomuona kwenye picha jana, kwa mantik hiyo sikuondoka na mhudumu yeyote.
 
hahahaa contessa at work! Mjeda hakuikausha? Hahahaha miss you big big Madame B. Msalimie mtarajiwa wako Ben Saanane! Umejiandaaje kuwa mama mheshmiwa?

Mie niko Poa mpenzi.
Ben Saanane wangu niko nae hapa,nimempakata tu.
Yaani sipati picha jinsi n'takavyoitwa mama Muheshimiwa,huku nimevaa mavazi ya Chadema,kama ya Mr wangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…