Live from LEO TUPO HAPA PUB

sikutegemea yani mume wangu ulivyoniaga asubuhi kuwa unakwenda job kumbe ulikuwa na sehemu zako sasa ona nilivyokubamba hapa halafu isitoshe uko na nani huyo, leo jioni home patachimbika lazima uniambie ulikaaa na nani pale maana kaja gfsonwin kunitonya home kuwa hujakwenda job uko hapa. UTANIELEZA LEO HOME!
Hapo chacha...
 
Last edited by a moderator:
Haha haaaaaaa
Majanga haya....nilishangaaje tu, nikasema yeuwiii nafwaa leo picha linaungua..
Nilifika salama salimini.
maana jamaa alikuwa anaunguruma kama jeifong ya mchina nikajua leo kimesanuka lazima Leo tupo hapa pub kitanuka!!Nikajiendea kwa Amo>>>>>.na Asprin!!
 
Last edited by a moderator:
Yani umetaja list nzima ukamwacha mkeo, ama kweli nimefunguliwa macho leo na dada gfsonwin maana amekuangalia pale ofisini kwenu hajakukuta kacheki daftari la orodhesho wafanyakazi hajaona jinalo, kumbe ile asubuhi ilikuwa danganya toto kula kunde mbichi kwangu sikutegemea beibe kunifanyia hivyo acha nimwambie mpiganaji mwenzangu Smile anisaidie maana daraja limeanza kuyumba waungwana wa cc nifanyeje au nipeleke kesi hii kwa kaka yangu Erickb52 anisaidie ndoa imekuwa ndoana kaka njooo home hapa
 
Last edited by a moderator:
Mhmmm tutakuletea matarumbeta unataka nionekane mimi nilikujakuchukuliwa na Vimini? Paloma huyo mwongo kaondoka na Nissan Hardbody sasa ulizia ilikuwaje maelezo anayo Asprin ila mtunzi wa srios hiyi ni The Finest
 
Last edited by a moderator:
wewe endelea kuendekeza hiko kilaji umemponza hata mume wangu naye kaingia humo kilichokufanya uje home kumbe ulikuwa unajenga daraja la wanywaji wenzako upate wengi wakuwapotosha ona sasa mume wangu hajakwenda kazini leo kaja hapo na amenidanganya anaenda job nami nimebamba live hapa sipendi huje tena home nasema nitakuchukulia hatua kali za kisheria wewe umesababisha mume wangu awe mlevi acha nimwambie kaka yangu anisaidie haya mambo kwani naona mlima unapasuka bure nami sipendi kumpoteza laaziz wangu kwani nimetoka naye mbali sana mpaka kaka yangu Erickb52 anafahamu hilo
maana jamaa alikuwa anaunguruma kama jeifong ya mchina nikajua leo kimesanuka lazima Leo tupo hapa pub kitanuka!!Nikajiendea kwa Amo>>>>>.na Asprin!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Jamani nitafutieni yule binti niliondoka nae siku ile....kuna kinguo alikiacha home
Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti.....
Hicho kitu nilikijua kabla!maana mimi alijifanya kunikabidhi pochi wengine kawakabidhi kingua cha ndani>>>CCM safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!zidumufukara za mwenye kitu!
 
mhh kweli binadamu hakunyimi neno! Tumepeana break, 2kiresume mapenzi yanakuwa fire! Kalagabaho na umbea wako!


:tape2::tape2::tape2::tape2::tape2::yo::yo::yo::banplease::banplease::A S 114:
:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::sorry::sorry::sorry::sorry:
 
Msamaha plz maana na huyo mumeo anapenda kayoga unategemea nini mnunulie pingu fungia kwenye mguu wakitanda nikija naondoka na wewe yeye tunamuacha ili nisije kumfundisha tabia mbaya sawa??
 
Acha kuumia aisee mwanaume kitu gani aisee
Kula kona rudi home ule raha za familia!
 
Nilikuona mikeke yako nikajua hapa lazima naniriyuuu imekula kwake lol!Mzee unatiming kama za simba!!unamida yako unakuwa kama simba mzee unasubiria kisimani ukijua lzima waje kunywa maji!!Nimekukubali!

I hope my wife isn't reading this......naomba nikupe pole kwa kubeba mkoba hakukusaidia....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…