Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

Swali la 7 mtangazaji wa kiume.
Kwa sasa una wadhifa gani Chadema?.
Jibu: Sina wadhifa wowote ni mwanachama wa kawaida.
P
 
Wanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
View attachment 1459783
Karibuni.

Paskali
Huyo Mayrose kama nakumbuka alikuwa na Kipindi StarTV au EATV kinaitwa Mayrose Show au sio huyu?

Dr May.jpg


Dr May1.jpg
 
Aisee ni Mimi sijaelewa au?
Mnieleweshe yani Chadema hiihii ya m.kiti Mbowe ndo huyu mgombea mmama anataka kukiwakilisha chama ..?
 
Swali la 8, sasa wewe huna cheo chochote Chadema, unataka kugombea urais wakati hujui hata Waziri kivuli wa fedha?, utawezaje kuwa rais?.
Again this is patronizing question!.
Jibu: Sio simjui bali sitaki kumchanganya kutokana na kuwa busy na maandalizi haya!.
Thats a lame excuse!.
Mtangazaji wa kiume aliendelea kukomaa nae, mtangazaji wa kike akamkatisha kuwa tutaendelea baadaye.
P
 
Akiwa live kupitia line ya simu katika East Africa Radio mtia nia wa kugombea urais kupitia CHADEMA, Mayrose Majinge amesema yeye amejiunga Chadema toka mwaka 2013 hivyo sio mgeni ndani ya CHADEMA.

Pia ameahidi kuleta siasa safi na maendeleo makubwa ndani ya nchini.

Akijibu swali la mtangazaji la kwanini anaonekana anataka kugombea urais kupitia CHADEMA na huku hawajui viongozi wa Chadema je atapangaje baraza la mawaziri? Mayrose Majinge amejibu kuwa yeye hana muda wa kuclaim viongozi wa Chadema na urais ni taasisi hivyo baraza la mawaziri hilo litapangwa na taasisi ya urais na sio yeye peke yake.

Mambo yamepamba moto.
 
Back
Top Bottom