Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika, na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamini hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari.
Mtu ambaye asiyekubali ujasiri wa Tundu Lissu, huyo akapimwe, ajitafakari, na ajipime anaishi katika sayari gani?