Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,922
- 22,653
Kama itakupendeza tukubaliane hakuwa na biashara yoyote.Kabla ya Chadema alikuwa anafanya Biashara gani Binafsi?

Ukweli ndiyo huo.Alianza kabla ya Chadema kuanza, lile kundi lako limeanza kufanya biashara baada ya kupata madaraka.
Freeman alikuwa Mtumishi wa Serikali na alikuwa anapigisha Disco kwenye Hotel ya baba yake jirani na Posta ClubKama itakupendeza tukubaliane hakuwa na biashara yoyote.
Nimeona sehemu nyingi bendera mpya za CCM kwenye nyumba za mabalozi wa nyumba kumi kumi ndiyo kusema CCM inafufuka.View attachment 2832540
Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.
Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
Kwani huyu mtu yeye anatufuta Nini mbona kila siku chochoko nchi ukiwa imetulia. Au anataka achonganishe tena ili akimbie kwa mme wake amsterdamView attachment 2832540
Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.
Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
Jifariji. Ipo siku utakuaLissu ni Shujaa
Chadomo ni mabwege tuUkimya wa Chadema haujawahi kuwa wa kibwege
Wewe endelea kula ulojoHuko mbele ataenda mwenyewe
Hao ndio wanaoitwa Wanyonge , Mtaji wa ccm , wakipewa chumvi na viberiti tu inatoshaWewe umezuiwa kufanya biashara?
Kabisa maana Kuna kikundi kinafaidika na cake ya taifa hili, wanajua wakipoteza Dola wote wataishia jela. Lakini bila machafuko hakuna mabadiliko ya kweli yatatokea nchi hii.Amina CCM WAKO TIYARI KWA LOLOTE ILA SI KUACHIA MADARAKA
Asante kwa taarifa sahihi za chama chako kuwa CHADEMA wote ni mabwege,Mungu akubariki ila siku utaChadomo ni mabwege tu
Mungu amejibu maombi yenu hata kabla hamjaomba
Na wewe ndio ukapata simu mpya na kurudi JF siyo ?Nimeona sehemu nyingi bendera mpya za CCM kwenye nyumba za mabalozi wa nyumba kumi kumi ndiyo kusema CCM inafufuka.
View attachment 2832540
Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.
Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
Huu ni mtazamo ww kijamaa, watu wakifanya siasa za kipinzani ni chokochoko. Inatakiwa watu wakae kama makondoo huo ndio utulivu kwa wajamaa!Kwani huyu mtu yeye anatufuta Nini mbona kila siku chochoko nchi ukiwa imetulia. Au anataka achonganishe tena ili akimbie kwa mme wake amsterdam
Ni wajinga snHao ndio wanaoitwa Wanyonge , Mtaji wa ccm , wakipewa chumvi na viberiti tu inatosha
Lazima tufike.........Bold Statement from Man of People, Man of God Tundu Antiphas LissuView attachment 2832540
Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.
Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
Si mlisema hakitafika 2020??🤣🤣Chama kina miaka 21!