B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
TraaashMadai ya mh rais kuchafuliwa na swala hili hayana msingi wowote.
Lisu ni mmoja wa maelfu ya watuhumiwa wa uhalifu walioko huko magerezani ambao uwepo wao magerezani hauna athari ya aina yoyote kwa heshima ya mheshimiwa rais.
Lisu sio mtuhumiwa pekee ambaye yupo gerezani.
Huko gerezani yupo na wenzake wengi tu kwahiyo mwacheni apambane na hali yake hadi siku ya kutoka atakuwa ana adabu kidogo kama ilivyokuwa kwa freeman Mbowe alivyokaa gerezani miezi kadhaa akatoka akiwa na adabu kiasi.
Umemuona JK jana akiwa anapeana tano na Captain Ibrahim Traore? Mama hayuko peke yake kwa muda ambao mh Kikwete yupo hai hakuna baya litakalo tokea nchi hii kwasababu mama anao watu wa kumsaidia na kumshauri endapo kuna mahala hapako sawa. NCHI YETU NI SALAMA NA ITAENDELEA KUWA SALAMA.jitahidi kutofautisha ujinga na upumbafu
Kwan kushangilia kifo Cha mtesi wako ni vibaya?? Maana nakumbuka hata Yesu alirud Bethlehem pilato alipofariki ,na wazaz wa Yesu wakafurah mtesi wao kufa ili warud nyumban!!Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Salama kutuibia in CAG voiceUmemuona JK jana akiwa anapeana tano na Captain Ibrahim Traore? Mama hayuko peke yake kwa muda ambao mh Kikwete yupo hai hakuna baya litakalo tokea nchi hii kwasababu mama anao watu wa kumsaidia na kumshauri endapo kuna mahala hapako sawa. NCHI YETU NI SALAMA NA ITAENDELEA KUWA SALAMA.
Apple kwenye severest, asituharibie nchiTundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison.
Not so sure where exactly is he being taken
Lissu na Heche wake wakomeMbowe atafutwe aulizwe ni kwa nini kaamua kumfanyia Lisu haya matendo haramu ya kishetani kwa kushirikiana na G55
Ndiyo maana hujawa RaisWashukuru Mama ni mpole.
Kwani watu wanauliwa kisasa?
Ukishakua mzoga basi tena kelele week tu zinaisha
wewe vip umemaliza kiliniki kuleAtakuwa anapelekwa Mirembe hospitali
Laana inatolewa na binadamu?Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Enzi za Mwalimu na enzi hizi za Samia ni enzi mbili tafauti.Inaonekana hujui how politics is na namna Nchi zinavyoendeshwa.
Nenda kasome Ushauri aliopewa Mwl Nyerere kabla hajang'atuka madarakani Mwaka 1985 na Benki ya Dunia na Jamii ya Kimataifa
Kama unadhani huko gerezani wapo wengi wanaostahili kuwa detained kwanini anayeimbwa ni huyo Lissu
Kuna watu tangu Nchi yetu ianze mfumo wa Vyama vingi wapo huko Upinzani kwaajili ya Check and balance ndiyo hao akina Mbowe na Lissu
Hakuna Rais atapenda achafuke kwenye Jumuiya ya Kimataifa hasa Kwa Nchi zetu hizo ambazo tunaendesha Serikali Kwa kukopa na misaada.Yeah hili niliwaza pia,
Kama umeibiwa si uende polisi ukafungue kesi na upewe RB ukamkamate aliyekuibia ?!Salama kutuibia in CAG voice
Kweli ??? 😁😁Na wanavyomuogopa watakuwa wameenda kumnyonga Hadi kufa kabla kesi yake kusikilizwa
na olewenu tutawavuruga....banglesh wakubwa nyie