Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,327
- 3,339
Achana naye huyo hamnazoKwahiyo kama alipanga dereva kumuua Lissu na huyo dereva ndiye aliyesema pasiwepo na ulinzi siku ya tukio, ndiye aliyeamrisha vedio za CCTV zisiweze kufanyiwa uchunguzi? Kwanza panahitaji usalama wake ndio awepo kwasababu mtuhumiwa ni serikali. Lissu yupo ni lini aliyoitwa akahojiwa? Kuna mengi hutakuwa na la kujibu ila jitahidi kuwaza tu kidogo na sio kutumia propaganda.