Tetesi: Lissu anaumwa

Tetesi: Lissu anaumwa

Knowledge brings Wisdom. Siwezi kujibu tusi kwa tusi. Nitakuwa sina tofauti na mtukanaji. #Najitofautisha.🙏🙏🙏
If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse, and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality - Desmond Tutu #Najitofautisha, 🙏 🙏 🙏
 
kwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Dereva yupo mwezini? Polisi wa kimataifa Interpol si wapo na kama ni uchunguzi mbona waliopiga risasi hawajakamatwa licha ya kujilikana kuwa makonda ndiyo mratibu wa Tukio, Acha kuvuta Bangi kisha kuja na visingizio vya kipumbavu kuwa alimficha Dereva wakati mlikuwa mnataka kumuua hata huyo Dereva
 
kwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Kwahiyo kama alipanga dereva kumuua Lissu na huyo dereva ndiye aliyesema pasiwepo na ulinzi siku ya tukio, ndiye aliyeamrisha vedio za CCTV zisiweze kufanyiwa uchunguzi? Kwanza panahitaji usalama wake ndio awepo kwasababu mtuhumiwa ni serikali. Lissu yupo ni lini aliyoitwa akahojiwa? Kuna mengi hutakuwa na la kujibu ila jitahidi kuwaza tu kidogo na sio kutumia propaganda.
 
Sumu ilikuwa lazima.

Zoom kusoma body language
 
Attachments

  • downloadfile-28.jpg
    downloadfile-28.jpg
    389.1 KB · Views: 12
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, walishangilia sana walipomuua Magufuli
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.

Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.

Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
 
Walipanga kumlisha sumu, huenda tayari wameshampa
 
Mkoloni kaburu toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu kama ilivyokuwa Africa kusini, watanganyika wanataabika kwa mateso ya mkoloni kaburu, muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru
Ndo gharama za kulinda tumbo hizo kwa maumivu ya wengine
 
Acha porojo bwana mdogo,, mtu hawezi kujimaliza kwa kusema ukweli. That's called speaking truth to power, siyo kujiua kisiasa.
Hakuna serikali yenye interest ya kumpa sumu mtu aliye rumande

Lissu is safer bila sumu
 
Hakuna serikali yenye interest ya kumpa sumu mtu aliye rumande

Lissu is safer bila sumu
Shirikisha akili yako vizuri bwana mdogo, sumu haipitii kwa Rais, inapitishwa kimyakimya by invisible hands, especially kwa mtu mwenye history ya kutikisa system.
 
Kilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa

At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais

Ni lini mtajua na utu?

Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
Nrne imepia au ccm imetumia mahakama kuipoza?
 
Siyo kweli Nina watu ABC pale alipo wanapenda mageuzi na wao ndo wanatoa taarifa zake daily ninazo information Jamaa yuko fiti, ni yeye vitabu na katiba

Britanicca
Kasiinge.🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom