October 29
JF-Expert Member
- Nov 5, 2024
- 3,143
- 4,445
Daa!!
Mbowe ni mshenzi sana kati ya washenzi mbowe ndiye aliye kuwa ana shirikiana na ccm waliokuwa wanampinga JPM kuua baadhi ya wanachadema ili kumchafua jpm ...kumbukeni kisa cha mbowe kuanguka na kuteguka akiwa na malaya kisha akatangazia dunia kuwa kapigwa na kikosi kazi cha JPMMbowe anatamani Lisu afe hata mda huu arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kati ya watu wenye Roho mbaya kwa lisu ni Mbowe kisha ibirisi wa ccm
Huku sio tu kusema ukweli bali kupasuka ukweliNrNe haijapoa,
Tumewazuia kufanya shughuli za siasa kwa muda, so tusijifariji kwamba slogan yao imepoa. Hawa jamaa wakirudi mtaani tutakonda. Kiukweli katiba na mifumo inatubeba sana, kwa hilo tusiongope...😀
Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kwanini aumie mguu wa kulia wakati risasi zulipigwa kushotoHizi kwanini zako zina majibu na maswali magumu ambayo huwezi kujibu. Kwanini Serikali ilikamata waliovaa jezi kumuombea Lissu, kwanini Serikali iligoma kumlipia matibabu kama zilivyo taratibu kwa wabunge wote. Kwa nini serikali iling'oa CCTV camera sehemu aliyopigiwa risasi. Kwa nini serikali ulipiga marufuku wabunge wenzake na watumishi wa umma kumsalimia Nairobi. Ukishajibu maswali takwa ndipo uulize hoja ya dereva.
Kwa nini serikali imegoma kabisa kufanya uchunguzi wa tukio. Kwa nini walimpora ubunge akiwa mgonjwa kitandani na vyuma miguuni ?Kwanini aumie mguu wa kulia wakati risasi zulipigwa kushoto
Huwa pia nazishangaa roho mbaya za hivi.Kwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.
Huyu hafi, mwache adhihaki walioumizwa. Maana analipwa kuumiza wengine.Huwa pia nazishangaa roho mbaya za hivi.
Cool
Unapotoa habari ya namna hii, unakuwa na jukumu la kutafuta ukweli ulivyo, ili kuondoa taharuki kwa watu wanaohusika.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Inakubidi wewe mwenyewe uanze kujitafakari kwa kukimbia na taarifa za namna hii kila mara.Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Vile vile kama wanavyo tengeneza akina Mdude na wengi wengi; au siyo?Jifanye mgonjwa, jilegeze, sisi tutasema wamekupa sumu, legeza macho, macho yawe mekundu, legeza mdomo weka upande, toa udenda kidogo, ongea tararibu kama mgonjwa, sema moyo, figo, ini, mapafu, kongosho, mbavu, tumbo, miguu, mikono kila mahali una maumivu, hosp ukifika sema huamini madakari, kataa kula, sema macho hayaoni vizuri.
Dunia nzima itaanza kusema Serikai ya CCM inataka kumua Lissu..!!
Hivi CHADEMA mna tafuta nini haswa? Kwanini mna tengeneza movie za kijinga hivi nyie, NRNE imepoaa, sasa mnaanza na drama ya sumu, hivi hizi siasa chafu za kijinga mtaacha nyie?
Vile vile kama wanavyo tengeneza akina Mdude na wengi wengi; au siyo?
Lissu huyo huyo, alikwisha jiiga risasi 0 mwilini mwake; sasa atashindwa kitu gani kujilegeza tu, kama unakokuelezea wewe!
WaTanzania wanajuwa jinsi Samia Suluhu Hassan alivyo mwigizaji mzuri katika maswala mengi, hata yaliyo ya muhimu zaidi kwa taifa hili; sasa haa unataka kuwaaminisha kwamba kuna mwigizaji mzuri zaidi ya yeye? Wewe hata hivyo visenti kadhaa unavyotuiwa inaonyesha hustahili kuvi ata
Hawa watu waombe awe mzima , vinginevyo sijui nisemeje, Madaraka hayawezi kuwa chanzo cha mateso ya watu , kuonea watu, hivi yupo aliezikwa na madaraka , kwa hili watajua hawajui asema BwanaNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA