Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Source; chanel ten habari
Lipumba nikukumbushe usemi wa waswahili ndugu wakigombana ........mgogoro wenu na mbunge wa wawi mliachiwa mkatatua wenyewe na huu waachie wenyewe watautatua wenyewe kwani chadema ina viongozi imara na wenye uwezo mkubwa bila hivyo hiki chama kisingeweza kufika hapa kilipofika bila uongozi shupavu na imara.Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Mbona walipotimuana na Hamadi Rashid hawakusululishana wala chadema haikuingilia mambo yao!
nikifanya ujinga na ujinga huo ukaleta madhara, kuna kosa gani kumsaidia mwingine asifanye makosa yale yale?Mbona walipotimuana na Hamadi Rashid hawakusululishana wala chadema haikuingilia mambo yao!
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari
Prof. Lipumba, Chadema wanacheza mchezo wa kuigiza wala wasikusumbuwe unless na wewe upo kwenye hii tamthilia.
Chadema waongo tu hawana lolote, wote wamoja.
Wanafifirisha sakata la Mwenyekiti wao kutembea na mbunge wake wa viti maalum kwa watu maalum.
cc Lilian Mbowe.
Ni moja ya maazimio ya mkutano wa baraza kuu la uongozi uliokaa kwa siku kadhaa jijini dar es salaam.
Source; chanel ten habari